Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwahiyo ni chai ?Kwanza jiulizeni mtu anayesomesha watoto watano intaneshno ada si chini ya 50+ milion kwa mwaka kwa watoto hao watano tena ni zile International za bei ndogo zile anaweza kupata mda wa kuandika nyuzi humu na kujibu kila komenti tusifanyane mabwege wazee uk