Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Si ndio huwa nashangaa wananchi wanalalamika mtandaoni eti maisha magumuUGUMU wa maisha yapo kwenye kichwa chako na matumizi yako
Sasa kumbe pesa zimejaa tanzania hii aisee wananchi tunafurahia nchi yetu
Zinakuvuruga Kivipi sijakuelewaNyuzi nyingine hizi znatuvuruga
Nina familia watoto wa 5 na wote nawasomesha international school. Na wote nawatimizia mahitaji yaoUKITOKA KWENU UTAELEWA MAANA YA MAISHA MAGUMU
Tanzania si ipo Moja tu ni hii hii ambayo naona wananchi wanalalamika mtandaoni wakati mtaani maisha mazuri kabisa pesa nje njeKwani mm Niko Tanzania ipi?usikute ziko mbili hiyo unayoizungumzia na hii niliyopo mm ya kuunga unga
Pesa zipo kibao tu mtaaniUlipataje hizo hela za kusomesha watoto 5 international?
Tuelezee hatua kwa hatua.
Hapo utakuwa umetusaidia kuliko kufoka foka.
Mbona unahasira Mimi sio baba yako hizo mbona pesa ndogo tu Kwa hapa tanzania maana pesa zipo nyingi sanaKwanza jiulizeni mtu anayesomesha watoto watano intaneshno ada si chini ya 50+ milion kwa mwaka kwa watoto hao watano tena ni zile International za bei ndogo zile anaweza kupata mda wa kuandika nyuzi humu na kujibu kila komenti tusifanyane mabwege wazee uk
We boya tu.Pesa zipo kibao tu mtaani
Hasira za nini pesa zipo nyingi mtaani unalialia nini🤣🤣We boya tu.