mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Siwapendi CCM ila juna wakati nikisikiliza nyimbo za Caotain Komba huwa nabaki natabasamu,maneno kama mtaisoma namba,CCM ni ile ile,yanakera na kufurahisha kwa wakati mmoja.
CCM wanapiga tu nyimbo zake sijui kama familia yake Inafaidika na hizo nyimbo. Kama hamuwezi kumlipa mjengeeni mnara basi kwenye kaburi lake tu itatosha
Huwezi kukuta mkutano wa maana wa CCM nyimbo zake zikaachwa kupigwa,hazichuji,wengine tumeanza kumsikia tangu enzi za kampeni za Mwinyi
Niliumia siku aliposema akitokea mtu wa kumsaidia kupunguza uzito atampa zawadi naamini uzito uliopitiliza ulichangia kumchukua mapema.
RIP classmate