Nashangaa wanaolaumu wenzao kuwa hawajafanya kitu katika nchi huku nao hawafanyi kitu

Hao ni wale watu waliopata trip ya kusafiri kwenda nje ya nchi ,basi wao wamebaki lawama wakati hawana msaada hata kwa watoto yatima.

Mpira na mziki huko nje ndio watu wanashabikia mpaka kujazana kweny kuangalia mziki na mpira ....Wapo wengi sana humu wazee wa lawama maneno kibao ila hawana logic kabisa ..Kuna mmoja anaitwa kiranga yeye anaongelea mambo ya nje katika nchi ya Africa , yeye kama ni smart akaishi huko ila atambue yeye ni mweusi sio mzungu.
 
Wewe umefanya nini maana na wewe si mtanzania
Mapinduzi huwa hayafanywi na mtu mmoja.
Ni lazima uhamasishwaji ufanyike ili watu wa aina yako wapate ufahamu idadi ya watu ifikie angalau milioni 30(nusu ya Watanzania) wawe na mwamko ndipo nchi itabadilika.
Mtu mmoja hatokuwa na uwezo wa kubeba msalaba/mizigo ya wazembe wote hilo jambo haliwezekani
 
Mapinduzi unatakiwa ufanye wede uuwawe Ili watu tuone kumbe upo serious ila sio mapinduzi ya jamii forum
 
Wenzako wanaongelea hoja za Kitaifa kiujumla wewe unamuattack mtu personally ni kama ulikuwa na kinyongo naye inavyoonekana.
Mtu anayekushauri ufunguke kiakili ili kujikomboa haupaswi kumchukia bali unapaswa kuzichukua hoja zake na kuzipima kwa ulinganifu huku ukijiuliza maswali na kujijibu mwenyewe.
 
Mapinduzi unatakiwa ufanye wede uuwawe Ili watu tuone kumbe upo serious
Ndio lazima wawe wengi yaani haiwezekani mtu mmoja peke yake aachiwe kuwapigania watu milioni 60 wewe unaona kuna uwiano hapo?Yaani mambo yote aachiwe mtu mmoja ina maana watu milioni 59.9 wote wakae tu kwani wamekuwa misukule?
 
Basi wewe muoga nyumbu tu huwezi mapinduzi
 
Kuwa busy na mambo ya Yanga na Sinba ni ujinga,
 
Yaani wewe mtoto wa kiume umekaa tu unangojea mwanaume mwenzako akupiganie kila kitu huoni aibu?na wanawake watasemaje?
Nipiganiwe nini Mimi pesa ninayo nyie masikini ndio mnasubiri wanaume tuwapiganie Kila siku kubana pua humu eti vijana hatuwezi taifa tunawaza simba na yanga au hujielewi mzee
 
Huyu amelipa kodi na hiyo kodi haijaleta mrejesho wa maana kwani hali ni ileile aliyoiacha mwalimu Nyerere, sasa wewe unamshindanisha na asiyekusanya kodi!
 
Yani wewe Mjane umetoka kwenye ule uzi ukakimbilia kuja kuanzisha huu uzi huku kwa spidi kama Mama mjamzito anayewahi kwenda kujifungua kwenye wodi ya wazazi,

JF sio dampo la kila takataka zako unakuja kumwagia humu.
 
Bado hujasema na utasemaa tu
 
Hiyo inaitwa 'blame game' au kwenye psychology inaitwa 'projection' - yaani ni weakness ambayo kimsingi ni yako, lakini unaiona kwa watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…