Nashangaa wanaolaumu wenzao kuwa hawajafanya kitu katika nchi huku nao hawafanyi kitu

Pambana na Hali yako mzee
Yaani nimi naelezea hao wanaolaumu maana yake huwa ni weakness yao, ila wanaiona kwa watu wengine (wanadhani watu wengine ndiyo wenye tatizo na siyo wao), halafu unadhani post yangu ilikuwa kukukosoa wewe?
 
Nipiganiwe nini Mimi pesa ninayo nyie masikini ndio mnasubiri wanaume tuwapiganie Kila siku kubana pua humu eti vijana hatuwezi taifa tunawaza simba na yanga au hujielewi mzee
Wewe kumbe bado upeo wako ni mdogo sana,unadhani nchi ikiharibika anayeathirika ni maskini tu?wewe kwa vihela vyako unadhani serikali inakujua?Je vihela vyako vinatosha hata kununua uraia wa nchi nyingine?vihela vyako vinatosha hata kukodi ndege binafsi ukitaka kwenda kuenjoy au kubadilisha mazingira?wewe sijui unaandika kutokea kijiji gani
 
Pes ninazo hata za kuhamia nchi nyingine na nikaishi bila kufanya kazi miaka hata 1000 nazitumia tu pambana na Hali yako umasikini wako usituletee huku na nchi haiwezi kuharibika kisa masikini kama nyie mnapiga kelele kwasababu mnanjaa🀣🀣🀣🀣
 
Mara nyingi maandamano ni fursa, Ukiitwa uandamane fahamu kuwa kuna wenzako mpo nao hapo wamepata chochote kitu. Uamuzi ni wako, kutumika au kuwatumia wengine.
 
Mara nyingi maandamano ni fursa, Ukiitwa uandamane fahamu kuwa kuna wenzako mpo nao hapo wamepata chochote kitu. Uamuzi ni wako, kutumika au kuwatumia wengine.
Ndio maana yake
 
Reactions: Tsh
Kama mleta mada una zaidi ya miaka 20,Mungu akusaidie sana
 
Kumbe hapa napoteza muda wangu kubishana na mtoto wa shule ambaye hata hajui ni nini maana ya kuwa na pesa,hajui hata ni nini maana ya utajiri.
Usikute baba yake anamiliki Passo kisha anavimba kijiji kizima kwamba nyumbani kwao ni matajiriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tafuta hela hamna mtu wa kuhangaika na hii serikali Kila mtu kazaliwa kivyake pambana na Hali yako
 
Tafuta hela hamna mtu wa kuhangaika na hii serikali Kila mtu kazaliwa kivyake pambana na Hali yako
Wewe unajuaje kuwa sina hela?unanifahamu?Mada yetu inahusu ustawi wa nchi yetu pamoja na kuhamasisha vijana wasiojitambua kama wewe waamke,sasa ukitaka kila mtu aonyeshe hela alizonazo humu Jf si itakuwa vurugu patakalika humu?
 
πŸ’πŸ’πŸ’ maua nyng sana hii n ujumbe bora wa mwez anatowa post ya maandamano alaf yy ataki kuwa mbuz wa kafara
 
Wewe unajuaje kuwa sina hela?unanifahamu?Mada yetu inahusu ustawi wa nchi yetu pamoja na kuhamasisha vijana wasiojitambua kama wewe waamke,sasa ukitaka kila mtu aonyeshe hela alizonazo humu Jf si itakuwa vurugu patakalika humu?
Mwenye hela hawezi kuangaika na huo ujinga hata siku Moja ambao mnahangaika ni choka mbaya kama wewe acha njaa kafanye kazi boya wewe
 
Wanalalamika hatufanyi kitu huku wao wamejificha chumbani
 
Mwenye hela hawezi kuangaika na huo ujinga hata siku Moja ambao mnahangaika ni choka mbaya kama wewe acha njaa kafanye kazi boya wewe
Mwenzako nakutetea wewe hata huko Tanzania sipo tunafanya ni kwa ajili ya kuwaamsha vijana wa hovyo kama wewe ambaye unajiona unajua kumbe kichwani ni zero brain
 
Mwenzako nakutetea wewe hata huko Tanzania sipo tunafanya ni kwa ajili ya kuwaamsha vijana wa hovyo kama wewe ambaye unajiona unajua kumbe kichwani ni zero brain
Umetetee nani eti kuwaamsha vijana wakati wewe ndio unatakiwa uamke na umasikini wako fanya kazi acha njaa njaa mtandaoni Kila mda kulaumu serikali utaishia kupiga kelele humu na huna utalofanya na maisha yanakuchapa
 
Umetetee nani eti kuwaamsha vijana wakati wewe ndio unatakiwa uamke na umasikini wako fanya kazi acha njaa njaa mtandaoni Kila mda kulaumu serikali utaishia kupiga kelele humu na huna utalofanya na

Umetetee nani eti kuwaamsha vijana wakati wewe ndio unatakiwa uamke na umasikini wako fanya kazi acha njaa njaa mtandaoni Kila mda kulaumu serikali utaishia kupiga kelele humu na huna utalofanya na maisha yanakuchapa
wewe endelea tu kujimwambafy huko kwenu Namtumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…