Nashare nanyi vitabu viwili vya Majasusi wa Israel

Nashare nanyi vitabu viwili vya Majasusi wa Israel

Vinasisimua sana, kimoja kinahusu Red sea resort hadi kuna movie yake imechezwa, kingine kuhusu Sylia Raphael bado nakimalizia hiki.
Attachments hizi hapa, kwa enquiries nicheki PM
Red sea spies nilisoma article yao BBC halafu kuna movie yake pia ya the red sea diving resort 2019 ilikua ni mission well played, wazawa wanajua jamaa ni wawekezaji wa utalii kwenye hotel na kuogelea kumbe walikua kwenye mission ya kuwaokoa majews na kuwapeleka Israel
images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom