Okey basi kuanzia leo wewe ndiyo balozi wa tembo.labda alipewa kwa kulazimishwa. sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo hana. wampe mtu active.
[emoji16][emoji16] wengi mnajitahidi kumkubali kiba taratiibu mpaka kufika January 2017 mtakua shabiki wake nambari 1labda alipewa kwa kulazimishwa. sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo hana. wampe mtu active.
Nakuelewa Sana kk msimpambe kinafki mpambeni kwa kazi nzuri anayofanya au vipitunamkubali na ndiyo sababu hatutaki kumpamba kinafiki
Naona jamaa kakujibu ulivokuwa hutegemei ikabidi uwe mpole tuNakuelewa Sana kk msimpambe kinafki mpambeni kwa kazi nzuri anayofanya au vipi
"Ha- ha -haivori" in kibas voicejamaa siyo mbunifu kabisa.