Nashauri Alikiba anyang'anywe ubalozi wa tembo

Nashauri Alikiba anyang'anywe ubalozi wa tembo

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Labda alipewa kwa kulazimishwa. Sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. Bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo.

Nashauri wampe mtu active.
 
Kiba kiba kiba kiba kiba.....
you've made your bed, now lie in it........ Mana sio kwa mi post hiii kila siku wewe... Ungekua mvuvi kumbe ungeishia kufahamiana na wachuuzi wenzako ila kazi uloichagua!!!!!!! Pole kaka...kubaliana na yote.
 
labda alipewa kwa kulazimishwa. sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo hana. wampe mtu active.
[emoji16][emoji16] wengi mnajitahidi kumkubali kiba taratiibu mpaka kufika January 2017 mtakua shabiki wake nambari 1
 
Watu mmekosa ya kusema na kufanya... Askar wa kuzuia ujangili si walikuwepo na wapo, wizara ya utalii na waziri wake wapo, they did nothing to rescue them wameteketea to the maximum, leo Kiba ni balozi tu ambaye hawezi kumuarisha yoyote nchi hii mnaanza kumsema! Hebu tuache hii mambo muda wote Mnamsakama tuuu... Khaaaah!!!
 
Back
Top Bottom