Nashauri Alikiba anyang'anywe ubalozi wa tembo

Nashauri Alikiba anyang'anywe ubalozi wa tembo

Mbona ubalozi wenyewe ni wa kujitolea tu (philanthropistic nature) na sio wa kibiashara kusema anafaidika na chochote zaidi ya kujitolea ? Au kama hafai ulikua una shauri anyang'anywe apewe nani ? Hata huyo unae mtaka anaweza akaamua tu kujitolea kuwa balozi kupinga poaching za wanyama walio kwenye hatari ya kupungua/kupotea kwanini badala ya kuhangaika kubomoa usielelekeze nguvu zaidi kumu himiza huyo unae mhitaji na yeye akawa na roho ya ubinadamu na kujitolea kupinga vitendo vya kijangili kwa wanyama pori ??
 
labda alipewa kwa kulazimishwa. sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo hana. wampe mtu active.
Upewe ww na unashauri hapa nenda mbugani kawaambie tembo wenyewe kama mwakilishi wenu hawafai
 
badala uwakabe mawazir, mambo ya ndani na wa mali asili na utalii pamoja na serikali na ccm yao unamnanga Ali kiba.unahitaji maombi
 
Kiba amepewa sehemu yake na ameitendea kazi, kazi ni kwako na mimi kuwalinda Tembo.
 
Ivi huyu kijana wawatu kawakosea nn nyie but namashaka na ww inawezekana mbona nane (huna shughuri ya kufanya)
 
Ili ufarijike kamuombee Diamond nae apewe ubalozi hata wa kuku wa kienyeji.
 
Ahahah! Umeongea pumba sana mkuu unataka wampe Diamond?
 
Hapo kwenye mtu active ungenyoosha kidogo maelezo mkuu
 
mimi siyo influential mkuu. ila kiukweli jamaa hajautendea haki ubalozi wake, angekuwa Diamond ungeona jinsi angechangamka.
Hahahahaaaaa haya mpeni DIAMOND maana kila anachofanya kiba lazima muwashwe hahahaaaa...
 
Watu mmekosa ya kusema na kufanya... Askar wa kuzuia ujangili si walikuwepo na wapo, wizara ya utalii na waziri wake wapo, they did nothing to rescue them wameteketea to the maximum, leo Kiba ni balozi tu ambaye hawezi kumuarisha yoyote nchi hii mnaanza kumsema! Hebu tuache hii mambo muda wote Mnamsakama tuuu... Khaaaah!!!
Nachofurahi mwanaume huwa hajibu..
 
Red Giant umesahau kinacho muweka mjini Ali Kiba ni bifu lake na Diamond?
Yuko busy na beef wacha tembo wafe
Unamaanisha kuwa hata zile nomination anazopata kwenye tuzo mbalimbali nje ya Tanzania ni beef lake na Diamond ndo linamfanya achaguliwe??!!!Akili ni nywele
 
Back
Top Bottom