rwechungura16
Member
- Nov 3, 2016
- 49
- 51
Mbona ubalozi wenyewe ni wa kujitolea tu (philanthropistic nature) na sio wa kibiashara kusema anafaidika na chochote zaidi ya kujitolea ? Au kama hafai ulikua una shauri anyang'anywe apewe nani ? Hata huyo unae mtaka anaweza akaamua tu kujitolea kuwa balozi kupinga poaching za wanyama walio kwenye hatari ya kupungua/kupotea kwanini badala ya kuhangaika kubomoa usielelekeze nguvu zaidi kumu himiza huyo unae mhitaji na yeye akawa na roho ya ubinadamu na kujitolea kupinga vitendo vya kijangili kwa wanyama pori ??