rwechungura16
Member
- Nov 3, 2016
- 49
- 51
Upewe ww na unashauri hapa nenda mbugani kawaambie tembo wenyewe kama mwakilishi wenu hawafailabda alipewa kwa kulazimishwa. sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo hana. wampe mtu active.
Labda upewe ww mwenye takwimu sahihi sio
Hahahahaaaaa haya mpeni DIAMOND maana kila anachofanya kiba lazima muwashwe hahahaaaa...mimi siyo influential mkuu. ila kiukweli jamaa hajautendea haki ubalozi wake, angekuwa Diamond ungeona jinsi angechangamka.
Nachofurahi mwanaume huwa hajibu..Watu mmekosa ya kusema na kufanya... Askar wa kuzuia ujangili si walikuwepo na wapo, wizara ya utalii na waziri wake wapo, they did nothing to rescue them wameteketea to the maximum, leo Kiba ni balozi tu ambaye hawezi kumuarisha yoyote nchi hii mnaanza kumsema! Hebu tuache hii mambo muda wote Mnamsakama tuuu... Khaaaah!!!
na apewe yule mbunge wa mbarali anafaa sanaLabda alipewa kwa kulazimishwa. Sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. Bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo.
Nashauri wampe mtu active.
Unamaanisha kuwa hata zile nomination anazopata kwenye tuzo mbalimbali nje ya Tanzania ni beef lake na Diamond ndo linamfanya achaguliwe??!!!Akili ni nyweleRed Giant umesahau kinacho muweka mjini Ali Kiba ni bifu lake na Diamond?
Yuko busy na beef wacha tembo wafe