Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen..
Hili kombe la wazembe mnaloita shirikisho limekuwa likizidi kupoteza mvuto siku hadi siku .
Mtakumbuka CAF walipanga kulifuta lakini wakaghairi, hapo ndipo walipokosea!❌️
Shirikisho Zuri lilikuwa msimu ule yanga aliofika final tu✅️
Baada ya hapo tunaona sasa team legevu na goigoi kama simba, Bravos na vijiteam vidogo vidogo ambavyo vingine havina hata nauli ya kusafiri ndiyo vinacheza!
Match moja ya CAFCL sawa sawa na match kumi za shirikisho yaani kombe hilo kina mama na mishangazi..
CAF walifute kombe hili wasije wakadhidi kupata hasara kubwa sana na hata kushindwa kuendesha kazi zao bali watoe viteam mchekea na visivyo na uwezo vipigwe marufuku au kama wanajiweza wachukue ligi nchini mwao kisha waje CAFCL.
Nina imani CAF watalifanyia kazi ombi hili kama walivyopanga