Nashauri CAF walifute sasa kombe la shirikisho, linaleta hasara kubwa sana.

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
I salute you kinsmen..
Hili kombe la wazembe mnaloita shirikisho limekuwa likizidi kupoteza mvuto siku hadi siku .

Mtakumbuka CAF walipanga kulifuta lakini wakaghairi, hapo ndipo walipokosea!❌️

Shirikisho Zuri lilikuwa msimu ule yanga aliofika final tu✅️

Baada ya hapo tunaona sasa team legevu na goigoi kama simba, Bravos na vijiteam vidogo vidogo ambavyo vingine havina hata nauli ya kusafiri ndiyo vinacheza!

Match moja ya CAFCL sawa sawa na match kumi za shirikisho yaani kombe hilo kina mama na mishangazi..

CAF walifute kombe hili wasije wakadhidi kupata hasara kubwa sana na hata kushindwa kuendesha kazi zao bali watoe viteam mchekea na visivyo na uwezo vipigwe marufuku au kama wanajiweza wachukue ligi nchini mwao kisha waje CAFCL.

Nina imani CAF watalifanyia kazi ombi hili kama walivyopanga

Its Pancho
 
Kamtibu kwanza Dube
 
Reactions: 7ve
Kombe ambalo lilikuwa na msisimko mkubwa zaidi mara ya mwisho ni lile yanga aliloshiriki haya mengine kama hili la msimu huu ni hasara
Tuendelee kua wapole wanayanga kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
 
Yaani uto mnazidi kuchanganyikiwa Tulia chura wewe
 
Sisi tunashiriki Hadi super league ambae mechi Moja tu ni sawa sawa na mechi kibao za CAFCL na Wala hata hatujauandikia uzi , bila sindano nyie mtaumbuka sana round hii😁 pole nigga
 
Si utulie mbona kama umemwagiwa pilipili...
Hahaha faraja hutoipata kwa njia hii

Chukua mpira nenda kwao...baadae Alhamdulilah...hahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…