The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Muammar Gaddafi, dikteta wa zamani wa Libya, alipoambiwa kuwa karibu serikali ya nchi jirani ya Misri ingeangushwa na waandamanaji, ajibu "kumbuka hii ni Libya."
Omar Bashir dhalimu wa zamani wa Sudan naye alipokaribia kuanguka, aliamuru wanajeshi kupiga risasi yoyote wakafanya hivyo kwa baadhi na kustuka kuwa wangewamaliza, bosi wao angeongoza nani?
Imla wa zamani wa Ethiopia Haile Selassie, alipoambiwa kuwa angeangushwa, alisema "waache waje tuonane." Walipomfikia, hakutaka kuongea lolote. Walimkamata na kumuua kwa njaa baada ya kugundua kuwa alikuwa akilisha simba tena wakanona ilhali watu wake walikuwa wakifa njaa.
Mifano ni mingi. Kwa hali hii, tusishangae tusichotegemea kikatokea tarehe 9 Desemba.