nashauri CLOUDS FM wamshtaki lady JD

nashauri CLOUDS FM wamshtaki lady JD

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,035
Reaction score
328
Kwa kuwatungia uongo . Na kama ana ushahidi wa aliyoyaongea basi akatoe vielelezo mahakamani. Na akishindwa wamdai fidia nzito kwa kuwachafulia radio yao ili iwe fundisho kwake na kwa wengineo wote wanapokosa soko na kukimbilia kutunga uongo ili watoke.
 
unaonekana na wew ni mbana pua na mvaa jeans mbano za rangi ya njano na pink....hun jipya na hao wafu fm wako....
 
yaani watu wangekuwa na akili inayofanana hata kwa ukaribu bila shaka hii redio na TBCCM zingeshafungwa...
 
Uongo gani mkuu tena wameanza hao!

Hivi utatangazaje kuwa radio haipigi nyimbo zako hivi kwani unawalipa au una mkataba nao . Radio zina utaratibu wao na uamuzi wao. Kusema eti clouds wanafanya mpango afukuzwe kwenye ukumbi anaoutumia pia huo ni uongo na utoto . Hivi huo ukumbi hana mkataba. Watanzania wengi wanapenda njia za mkato. Kama muda wako umepita huwezi ku force. Acha wenzako nao wa shine
 
Je Jay dee akiwa na ushahidi mzito na kuonyesha vielelezo vyote juu ya unyonyaji wa clouds?
 
Wakimshtaki wataumbuliwa mahakamani kwa kukumbatia studio ya serikali iliyo tolewa na rais.
 
kwa kuwatungia uongo . Na kama
ana ushahidi wa aliyoyaongea basi akatoe vielelezo mahakamani. Na
akishindwa wamdai fidia nzito kwa kuwachafulia radio yao ili iwe
fundisho kwake na kwa wengineo wote wanapokosa soko na kukimbilia
kutunga uongo ili watoke.

je,akishinda kesi..?
 
Hivi utatangazaje kuwa radio haipigi nyimbo zako hivi kwani unawalipa au una mkataba nao . Radio zina utaratibu wao na uamuzi wao. Kusema eti clouds wanafanya mpango afukuzwe kwenye ukumbi anaoutumia pia huo ni uongo na utoto . Hivi huo ukumbi hana mkataba. Watanzania wengi wanapenda njia za mkato. Kama muda wako umepita huwezi ku force. Acha wenzako nao wa shine
Mkuu mbona umeongea kwa uchungu sana??? Au weye KIBONDE???
 
Jamani eee mbona watanzania tunakuwa hatupo nyuma katika masuala ya watu binafsi??? Tuwaachie wenyewe bwana
 
Taarifa hii huwa naisikia juujuu sana sipendi majungu ila anakokwenda jd siko anaelekea kuwa hewa tu,hata staha ya kike amekosa,eti nyimbo zake nyimbo za jd siku hizi zimechuja hanatofauti na mr nice halafu analazimisha watu wapinge nyimbo zake watapigaje ubwabwa ule aache tabia yake ya kikulya asubiri akipata mumewake ndipo amtawale siyo kutaka kutawala redio za watu.
 
Ujue alichokifanya jd c unafiki bali kile kilicho moyoni mwake ndio alichokieka wazi,mi nmefatlia cloudz hawajatukanwa bali jide katoa wosia kwa kile anachokiamini yeye kwa fanz wake!cloudz wamepeleka shtaka la kutukanwa na ni kitu ambacho jide hajafanya.....!
 
Hivi utatangazaje kuwa radio haipigi nyimbo zako hivi kwani unawalipa au una mkataba nao . Radio zina utaratibu wao na uamuzi wao. Kusema eti clouds wanafanya mpango afukuzwe kwenye ukumbi anaoutumia pia huo ni uongo na utoto . Hivi huo ukumbi hana mkataba. Watanzania wengi wanapenda njia za mkato. Kama muda wako umepita huwezi ku force. Acha wenzako nao wa shine

naona umerudia maneno alosema RUGE SINA SHAKA WW NDO PRO WA CLOUDS HONGERA SANA KWA KUPATA KAZI CLOUDS MEDIA ENDELEA TU NA MAJUKUM KWA BAHAT HAPA JF WALA HAKUNA GHARAMA UNAZOTOZWA BAADA YA TOZO LA BUNDLE
 
Back
Top Bottom