Mpige...maarufuku na jezi za sports pesa wasivae.yaan jezi ina msalaba waislam hatuvai hata bure kwanini msalaba
Nani? FaizaFoxy?We nawe nyoko zako .... Umeona hilo tu .....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji1][emoji1][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana ni kama unamwita Dada yangu ......... aje
Sitaki kumtaja hata jina maana najua kiwango chake cha ligi sio cha nchi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ni haramu?Niwakumbushe tu kwa Waislam ni haram kuvaa jezi hii na ni bora wakajiweka mbali nayo
Mimi mwenyewe ni simba lakini sioni shida yoyote kwenye jezi hiyoSimba fans are troublesome!
No red colour seen thus why
Nasikia kuwa mwislam hapandishwi ambulance wala kufanya kazi red cross
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingine umewahi kuvaa?
Mkuu nini kisichokuvutia kwenye ile jezi?Huyo designer sijui alikua anawaza nini yani ubunifu wake ndio umeishia hapo.
Jezi ya hovyo kabisa haivutii hata kuitazama.
Sent using Jamii Forums mobile app
The Cranes piga wavaa misalaba hao!
Msalaba ndio uliokufanya uichukie jezi au kuna kingine cha ziada mkuu?The Cranes piga wavaa misalaba hao!
Watu wa mnyaazi Mungu [emoji23][emoji23][emoji23]yaan jezi ina msalaba waislam hatuvai hata bure kwanini msalaba
Ni haramu kwa kuwa zina alama ya ukristo ndugu
Unakuta ni mtu aliyezoea kuvaa shati za vitenge kila wakati hata bei ya jezi haijuiZingine umewahi kuvaa?