kilochindikipoporu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 244
- 208
Wewe umejuaje alama ya ukristo kama wewe si mkristo?Ni haramu kwa kuwa zina alama ya ukristo ndugu
ivi hii ishu ni kweli au photoshop?
You hopeless deluded Idi.o.t u dont deserve an answer
Kwahiyo hawapandagi Ambulence maana ina msalaba piaa...
Pia nadhani hawashirikiani na shirika la msalaba mwekundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Kila Alama ya cross ni msalaba. Tukatae basi na alama ya jumlisha. Barbara nyingi zina Katisha Alama za msalaba Nazo tusipite hapo. Maisha halisi sio hivyoSubiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ
Kwani msalaba unamaanisha ukristo tu, unaweza ukawa umewekwa kama namna tu ya pattern za rangi..Wangeweza kuweka hata X au hata vi draftNi haramu kwa kuwa zina alama ya ukristo ndugu
Nani kasema huo ni msalaba mat@ko yakoWakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
Takwimu hiyo kama imelenga watanzania wote basi Nawewe ukiwa mmoja wao,Aliye design hiyo jezi ni kilaza na hao Tff walioiangalia kwa mara ya kwanza wakakubari itumike kama jezi ya Taifa pia vilaza
Na hapo ndio linapitaka jibu kuwa IQ ya watanzani ni ndogo kuliko nchi zote duniani
Approximately TZ IQ ni 0.0000000001
Sent using Jamii Forums mobile app