Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?

CC Zero IQ
Sio Kila Alama ya cross ni msalaba. Tukatae basi na alama ya jumlisha. Barbara nyingi zina Katisha Alama za msalaba Nazo tusipite hapo. Maisha halisi sio hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

View attachment 1052174
Nani kasema huo ni msalaba mat@ko yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye design hiyo jezi ni kilaza na hao Tff walioiangalia kwa mara ya kwanza wakakubari itumike kama jezi ya Taifa pia vilaza

Na hapo ndio linapitaka jibu kuwa IQ ya watanzani ni ndogo kuliko nchi zote duniani
Approximately TZ IQ ni 0.0000000001

Sent using Jamii Forums mobile app
Takwimu hiyo kama imelenga watanzania wote basi Nawewe ukiwa mmoja wao,

Nini kinachokufanya uone wana IQ ndogo walio design hiyo jezi?

Sent using unknown device
 
Magari ya wagonjwa yana alama ya jumlisha na si msalaba . Tofautisheni + na msalaba. Huo ni msalaba.

Mi sina shida na huo msalaba ila hiyo jezi hata kama mtu umkristo yaani haivutii hata kidogo
 
Jezi haina tatizo hiyo!
Tatizo lipo
tapatalk_1553345830760.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom