Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

View attachment 1052174
Tafsiri ya udini unao wewe kwenye ubongo wako!!! kwanza hata mbunifu wa marembo haya yanayoonekana ni muislamu na hakuwa na lengo wala mambo yoyote ya kiimani kwenye kichwa chake acheni ushamba
 
Basi me naona kama ni hivyo ifanyike pasu pasu,mechi iahirishwe jezi zirudi zilikotoka nyuma ziwekwe mwezi na nyota bila kusahau kengele kwenye mikono ziwekwe tunguli na hirizi kwa wale wa asili kwengine itafutwe nembo ya wapagani ili tuende sawa.

Sometimes ku-deal na hawa vichwa vibovu inataka timing tu wala siyo nguvu,leo nembo ya msalaba tu imekuwa mtihani hivi kweli hakuna ya msingi ya kulalamikia zaidi ya hili?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale muslims wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Punguza munkari mkuu, designer wa hii jezi ni paroko.
tapatalk_1553345830760.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni msalaba au ni alama ya jumlisha kuhalalisha baadhi ya mambo bila kujua athali si vizuri. Mbona Mbona hapo sioni msalaba ninacho ona ni alama ya.jumlisha.msalama una alama ya Yesu.leteni jezi tuvae na Tifa stars oyeeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...

waislamu uchwara

lakini jezi zilizoandikwa "sportpesa" mnavaa?
 
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

View attachment 1052174
Hii si kweli ipo tangia zamani.. ni mtu kaamua kuweka aina hiyo.. TUSISAMBAZE CHUKI ZA KIDINI KIZEMBE KIASI HIKI VIJANA WA TAIFA LA KESHO..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona makosa ktk hiyo Jezi..Hta wewe muislam unataka niambia nyumbani kwako kuanzia Dekio,vijiko,nguo zote zako mpk za watoto,vitabu vyako HAMNA VYENYE ALAMA YA MSALABA?? ushamba tu..Kujadili huu ujinga ni dalili ya UPUNGUFU wa AKILI.
 
Write your reply...
ila huku mtaani jezi za man united,barcelona,arsenal mnavaa
 
Mi sijafikilia kama huo ni msalaba ndo wewe mtoa mada umeniingizia swala geni kichwani mwangu.
WAISLAM WASIOSOMA WANATESEKA SANA NA UGONJWA WA INFERIORITY COMPLEX

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona makosa ktk hiyo Jezi..Hta wewe muislam unataka niambia nyumbani kwako kuanzia Dekio,vijiko,nguo zote zako mpk za watoto,vitabu vyako HAMNA VYENYE ALAMA YA MSALABA?? ushamba tu..Kujadili huu ujinga ni dalili ya UPUNGUFU wa AKILI.
Unaweza thibitisha katika hivyo vitu ulivyotaja kuwa vina hizo alama japo kwa picha kujustify bandiko lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom