Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
Darasani ulikuwa unaruka hesabu za kujumlisha (+) kisa zina msalaba? Acheni bangi, Taifa staz kwanza mengine baadae