Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
Darasani ulikuwa unaruka hesabu za kujumlisha (+) kisa zina msalaba? Acheni bangi, Taifa staz kwanza mengine baadae
Alama gani hiyo?Alama ya laana
Wewe huo sio msalaba ni pande zote za tanzania njooni uwanjani kaskazini kusini mashariki magharibi acha kuppotosha watuWakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
Ukristo ni ukafiri
Mbona barcelona ina alama ya msalaba lakini inachukua vikombe vikubwa vya dunia, lakini yanga na simba ambayo haina alama ya misalaba haijawahi hata kuchukua ubingwa wa afrika?Kosa ni huo msalaba wakivaa hizo jezi kesho hamtaamini kitachotokea
Hamuwezi kuifanya Tanzania alama yake iwe misalaba
Usisingizie msalaba. Kama huna kiingilio huwezi kuingia kivyovyote vileukivaa hiyo jezi mbinguni huingii?
Yes ,hili ni pambano la mpira siyo crusade.Kwa nyongeza Waislam na Wasabato hampaswi kufumbia macho suala hili!
HAKUNA alama ya + ya Aina hiyo WAJINGA SI WOTEDarasani ulikuwa unaruka hesabu za kujumlisha (+) kisa zina msalaba? Acheni bangi, Taifa staz kwanza mengine baadae
Acha Ushamba wewe! Nani kakuambia ule ni msalaba? Dhambi ya ubaguzi ni mbaya na hii ni inferiority complex!Niwakumbushe tu kwa Waislam ni haram kuvaa jezi hii na ni bora wakajiweka mbali nayo
Nikukumbushe tu na wewe umeumbwa kwa ajili ya kumuabudu Allah, suala la mipira hajakuelekeza.Niwakumbushe tu kwa Waislam ni haram kuvaa jezi hii na ni bora wakajiweka mbali nayo
Neno gani MkuuAlama gani hiyo?
Halafu kwanini alama ya laana inakukera kuliko neno lenyewe la laana ambalo unalitumia?
Sent using unknown device
Haya mambo bwana sisi wa Africa nani katulog? kuna msalaba wa namna hiyo wenye michanochano mikononi? Halafu mbona za Man U zinaalama kama hiyo ma Pogba anavaa?Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.