Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Naona unaendeleza yale yale ya waislamu kutokua na elimu..nimekwambia zungumza kuhusu mimi achana na hao mamilioni...au hauna shule umesoma madrasa tu wewe enh?
Wewe unaelimu gani unayo ringia watu au ndy ile yakuzini nakumuomba baba mchungaji msamaha? au kuweka biblia kwapani ndy usomi unaozungumzia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi hata kwenye njia mpishano zinazo onekana hivi[emoji809] hatupitagi kamwe.
Bora wangeweka alama hii[emoji287], tusinge laumu kabisa.
Kuanzia leo ktk somo lolote la hisabati alama ya kujumlisha + tutaigomea nayo. Ni alama ya Wakiristu pia.




Sent using Jamii Forums mobile app
Msalaba vertical line ni mrefu kuliko horizontal line,ni tofauti na alama hii + umeelewa juha

jof3 wa michano
 
Hv kwani msalaba una tatizo gani hapo?
Na nani aliesema km ni msalaba, je km mi kujumlisha?
Kwhy unataka kusema watu wote wanaolalamika hawajawahi kbs kuvaa nguo yenye alama za namna hiyo au maandishi ya kiislam?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnaojidai wasomi hamjui hata alama ya jumlisha au Ndy elimu ya kanisani ilivyo kujumlisha mnaweka msalaba poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msalaba ni nembo rasmi ya kanisa na wakristo hakuna kanisa lolote lisilo na msalaba.
Hakuna alama ya kujumlisha cross yake iko juu, bali cross ya alama ya kujumlisha ipo kati, na uwelewe kuwa alama huwakilisha utambulisho au maandishi kwa hiyo ktk mawasiliano ya alama huwezi kukurupa msalaba ukasema ni jumlisha utafeli,
Haja katazwa mkristo kuvaa alama za kikristo na muislam kuvaa alama za kiislam, ila tunapofika masula ya taifa, tunacha alama zetu na kuvaa alama ya taifa,
Swali hiyo alama inawakilisha kipi ktk taifa mpaka iwekwe ktk jezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huo msalaba mlitaka mtuoneshe nini hasa na huo ukafiri wenu

jof3 wa michano

...................Kwani wewe alama ya msalaba unaifafanuaje kwa uelewa wako?hiyo habari ya kuanza kuitana kafir hapa iweke pembeni hilo litajulikana tukishaanza kujibiana maswali tutakayoulizana hapa kwamba nani kafir nani siyo kafir?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 

Nchi ina watu wa hovyo sana hii.

Watu wazima na akili zao wanajadili vitu vya kipuuzi kabisa na kutaka kuvipa uzito usiostahili.
 
Itakuwa vema mno wachezaji wote wa timu ya Taifa wazigomee kuvaa hizo jezi kwani vinginevyo zitawaletea mgawanyiko mkubwa na watashindwa kuconcentrate na game na hatimaye kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hakika kama hizo ndio jezi rasmi.

Lakini hata kama zingekuwa ndio jezi rasmi, tatizo ni nini hapo?

Mbona watanzania mna fikra za kipumbavu sana?
 
Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale muslims wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Nimekutana na upumbavu wa aina hiyo twitter hivi mtu mzima na akili zako unakaa na kuwaza upumbavu tu,! Taifa hili tumeendekeza kukosoa kosoa tu na watu wanaona sifa..
Kuna jeshi aina nne au tano zipo nyeupe tupu zipo za blue tupu kwani lazima uvae ya msalaba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa 0 - 5 Uganda.

Mi muislam utaniwekeaje msalaba kwenye jezi.
Mbuzi wewe bora uchinjwe watu wanywe mchuzi hata kama kuna uhuru wa maoni watu kama nyie kwenye mapambano bora tu uwe chakula ya risasi.!
Kuliko kupotosha na kukatisha tamaa watu wanaopambana kwa ajili ya kizazi chako..
Bora tu nikutusi mkuu. Wewe ni Mbweha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alama ya kujumlisha pembe zote
sawa. Tukubali jersey imekosewa siyo sawa kumvesha muislamu msalaba/alama ya msalaba kifuani.
Kwasababu akivaa anakufa?
Akizidiwa hawezi kupanda gari za wagonjwa ambazo huwa zimechorwa hiyo msalaba?


 
Mbuzi wewe bora uchinjwe watu wanywe mchuzi hata kama kuna uhuru wa maoni watu kama nyie kwenye mapambano bora tu uwe chakula ya risasi.!
Kuliko kupotosha na kukatisha tamaa watu wanaopambana kwa ajili ya kizazi chako..
Bora tu nikutusi mkuu. Wewe ni Mbweha..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tolerance huna hata ivo lugha unayotumia si nzuri please cool down
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom