Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Haya nadhani sisi ndio tunayaleta ila sidhani km wabunifu walikuwa na maana hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kwanza hawa wanaoita wenzao makafiri, wao wana utakatufu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuona ukafiri haulipi wameona wautangaze ukafiri wao kwenye jezi ya taifa,taifa ambalo katiba inasema tanzania haina dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Msalaba una alama ya yesu" Aiseeee, tuna safari ndefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambulance haina msalaba, Hivi kumbe kuna kundi kubwa la watu hawajui tufauti ya alama ya kujumlisha na msalaba... Aiseeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi nao unaonyesha kiasi gani a black man could be so insane, mtu mweusi amekuwa janga la kibunia kabisa. Ujinga mtupu...
 
Kuna watu wakiona koment kwamba jezi za msalaba zinakubalika wanasonya.
 
You see,wakati anapigwa tano tano kalikuwa kimyaaa. Na pia hakajui hata maana ya matokeo mazuri, simba kafuzu kimahesabu hakuna uzuri wowote kwenye kufuzu kwake.
 
Nataraji leo siku yangu itakuwa nzuri kwa kukutana na ww Chief katika Jukwaa hili.

Maneno ya mwenye akili na mtazamo wa mbali

Shukran Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…