Tofauti ya jumlisha na msalaba ni ipi???..any way na nyinyi tafuteni jezi ya kanzu muwe mnavaaAmbulance haina msalaba, Hivi kumbe kuna kundi kubwa la watu hawajui tufauti ya alama ya kujumlisha na msalaba... Aiseeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko siku mtaikataa alama ya kujumlisha mkidai iwekwe nusu mweziKiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.
Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.
Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4
Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi akikojelea impact yake nini nunua nyingine au anika ikauke maisha yanaendeleaYaani anachkulia simple sana.. ina maana mtoto wake akija kukojolea Biblia atakaa kimya kwakua ni mdogo au..
......Tanzania inapoelekea Mungu anajua
Tunashukuru kwa kuitikia wito wa WAISLAM. Ahsanteni TFF
Tunashukuru kwa kuitikia wito wa WAISLAM. Ahsanteni TFF
Msalaba ndio asili ya kweli......tatizo liko wapi?
Ndugu unataka kuharibu uzi. Hapa chadema imehusikaje na upuuzi huu, mbn umekimbilia kuwahusisha bila ushahidi wa ulichoandikaCHADEMA inahusika
Mkuu utakua mtabiri wewe... Kama siyo mtabiri basi una karama hiyo hata mi nmehisi ni chadema tu hawa wanahusika na simba sport clubCHADEMA inahusika