matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Naomba nieleweke ni Arts sio Science.
Kimsingi kasi ya matumizi ya AI karibu katika kila kitu mitandaoni ni kubwa na kuna baadhi ya taaluma zitakufa kifo cha mende.
Napendekezwa ianzishwe kozi maalum ya jinsi ya kutumia hii kitu kujipatia kipato katika real life na kuachana na yale mamitaala ya kusoma vitu vigumu ambavyo hakuna pa kuvitumia.
Sasa hivi kwa AI unaweza kufanya kitu kilichokua kinatumia miezi kwa sekunde tu.
Mfano
Kazi zote za graphics designing. Unaandika tu biashara yako na unachotaka kufanya, system inakufyatulia kila kitu kuanzia logo, mabango,kila kitu.
Wadau wenye ujuzi zaidi mnaweza kuyoa mifano zaidi.
Kasi ya AI inatishia makampuni makubwa duniani.
Kuna haja taifa kureview vinavyofundishwa ili vibaki tu vile ambavyo vitawashindanisha vijana wetu na vijana wenzao duniani.

Humans Need Not Apply v240P