Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

Askari bila mazoezi ni sawa na Mchezaji bila mazoezi, hawezi kufunga hata kwa kuotea.

Askari bila mazoezi ni sawa na bunduki bila risasi.

Askari bila mazoezi ni sawa na imani bila sadaka.
 
Mtoa mada hajui kwenye vita kuna askar wa nchi kavu haonagi Askar wa marekani walioko Afghanistan Wana vyo tembea milimani wakiwa wamebeba mizigo mingi sana
 
Lazima askar wa miguu wawepo makomando we huonagi askar wa marekani Wana tumia nguvu kwenye Kubomoa huwez kutumia kushambulia kwa kutumia ndege pekee lazma Askari wakutumia nguvu waende kwenye tukio ili waweze kuteka nchi sasa jeshi gani Lina weza kushinda vita likiwa ofisini
 

..tukubaliane kwamba bwana yule alikuwa wa aina yake.

..Jwtz hawajawahi kupoteza askari wengi kwa mpigo kama ilivyotokea DRC.

..sasa tukio la kihistoria namna hiyo halafu Amiri Jeshi mkuu hashiriki kuwaaga askari waliofariki linastaajabisha, kama sio kukasirisha.

..Na ukiacha tukio hilo hakwenda kuaga Polisi waliouawa na magaidi, badala yake akaenda kufungua hostel za wanafunzi wa udsm.

..Zaidi, kuna misiba ya kitaifa ya Kagera na Ukerewe nako hakutokea.

..kusema kwamba hali ya usalama ilikuwa hairuhusu sio kweli. Kama Waziri Mkuu alikuwa salama kuhudhuria basi hata Raisi angekuwa salama.

..Kuhusu Mbowe au Chadema kutokuhudhuria msiba Ukerewe ilikuwa ni makosa makubwa. Hata kama walikuwa wamekosana na mbunge wao bado haikuwa sahihi kutokushiriki msiba ule.
 
Mzigo wote wa kirikuu, kapewa jamaa abebe
 
we ulitaka jwtz wafanye shoo za kumtisha nani.??
Au unafikiri wapo pale kwa ajili ya kutishiaa..?
 
Kenge wewe...
 
Hayo ni maonesho tu
Hata nchi zilizoendelea wanafanya, haina maana ndio kinachotokea wakati wa vita
India kuna jimbo moja ambalo wakati wa kudai uhuru wananchi wote waligeuka kuwa wapiganaji na silaha waliyotumia ilikuwa ni kujisaidia haja kubwa kila kona ya maeneo anakoishi Mkoloni hadi Wakoloni walikimbia wenyewe. Vita ni mbinu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Ndio maana napitaga kimya kimya maana unaweza jiona unajua kumbe hujui. Ppl mnamajibu humu ndani
 
Nikajua wewe Mtaalamu wa vita Kumbe unataka tukasomea vitabu???

Bahari za watu jadilini video za umber rutty
 
Huu ni ujinga wa kutupwa. Haya mambo ni kijinga sana na yamepitwa na wakati.
 
Ingawa hapa si mahala pake ninashauri mambo ya maonesho ya JW au Polisi yasiwe wakati wa Parade rasmi. Napendekeza maonesho ya Jeshi yasiwepo kabisa. Huo utamaduni tuachane nao si wa kuiga. Tuwaachie Korea Kaskazini. Kama JW linapenda kutuonesha wananchi uwezo wao wachague kati ya Sikuu za Kijeshi watuoneshe, lakini siyo mbele ya wageni wetu wa kimataifa wakati wa sherehe za kitaifa.
 
Nikajua wewe Mtaalamu wa vita Kumbe unataka tukasomea vitabu???

Bahari za watu jadilini video za umber rutty
Kwani utaalam huanzia wapi kama si kusoma na kufanya kazi? mbona unaonesha ujinga wa kiwango cha juu kiasi hiki ndugu?
 
Watanzania vile wajuaji wa kila kitu.
Kweli wa Tz tunajua sana kupindukia ndio maana kule Cameroon hatupo zipo nchi kama Comoro, Cape Verde, Gambia, Gabon Bukina Faso, Malawi etc what a shame Taifa stars alafu ukiuliza kila mtu kocha wanajua kuliko hata Mourinho au Pep
 
Umekalili vitu, kila jeshi lina docrines zake kutokana na mazingira mahalia. Sisi hatuwezi wekeza kwenye baadhi ya Area ambazo siyo applicable kwa mazingira yetu. besides hayo mambo hata nchi hizo unazosema huwa wanafanya kwenye maonesho yao acheni story za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…