Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Askari bila mazoezi ni sawa na Mchezaji bila mazoezi, hawezi kufunga hata kwa kuotea.Bahati nzuri Mambo mengi ktk nchi zilizoendelea hasa Marekani mambo yao mengi yapo wazi kuanzia Training na hata mazoezi na Maisha ya wanajeshi wake.
Ni kwanini sasa nchi hizo zinataka Askari wenye nguvu na Mafunzo makali.
Ni kwanini kwa Marekani suala la ukakamavu na nguvu kwao ni Sheria na lazima ifuatwe. Kwanini kwao ni mwiko kwa Askari kuwa legelege na KITAMBI.
TUNGEKUWA KAMA WAO KIMAENDELEO NA TEKNOLOJIA NAONA UNGESHAURI WANAJESHI WETU WASIKIMBIE HATA MCHAKAMCHAKA
Kwao tunaona hata Askari anayefanya kazi za Hospital/Dr au kokote kusikohitaji miguvu lakini bado anatakiwa kuwa mkakamavu. Sisi Askari wetu labda hao makomandoo tu ndio hutaona vitambi but wengine huwezi kutofautisha MENEJA WA NIDA NA ASKARI NI YUPI.
FUATILIA NCHI ZOTE ZILIZOENDELEA KTK TEKNOLOJIA KAMA HUTAONA AIBU NA UNACHOKOSOA KWA WANAJESHI WAKO
Askari bila mazoezi ni sawa na bunduki bila risasi.
Askari bila mazoezi ni sawa na imani bila sadaka.