Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

Bahati nzuri Mambo mengi ktk nchi zilizoendelea hasa Marekani mambo yao mengi yapo wazi kuanzia Training na hata mazoezi na Maisha ya wanajeshi wake.

Ni kwanini sasa nchi hizo zinataka Askari wenye nguvu na Mafunzo makali.
Ni kwanini kwa Marekani suala la ukakamavu na nguvu kwao ni Sheria na lazima ifuatwe. Kwanini kwao ni mwiko kwa Askari kuwa legelege na KITAMBI.
TUNGEKUWA KAMA WAO KIMAENDELEO NA TEKNOLOJIA NAONA UNGESHAURI WANAJESHI WETU WASIKIMBIE HATA MCHAKAMCHAKA

Kwao tunaona hata Askari anayefanya kazi za Hospital/Dr au kokote kusikohitaji miguvu lakini bado anatakiwa kuwa mkakamavu. Sisi Askari wetu labda hao makomandoo tu ndio hutaona vitambi but wengine huwezi kutofautisha MENEJA WA NIDA NA ASKARI NI YUPI.

FUATILIA NCHI ZOTE ZILIZOENDELEA KTK TEKNOLOJIA KAMA HUTAONA AIBU NA UNACHOKOSOA KWA WANAJESHI WAKO
Askari bila mazoezi ni sawa na Mchezaji bila mazoezi, hawezi kufunga hata kwa kuotea.

Askari bila mazoezi ni sawa na bunduki bila risasi.

Askari bila mazoezi ni sawa na imani bila sadaka.
 
Mleta mada hajui vita
Kuna ebeo unahitaji physical presence sio teknolojia tu

Osama kuua kulitumika mbinu zote physical na technological

Kuteka hutumii teknolojia tu au kupambana na magaidi huhitaji teknolojia tu

Hata kupambana mijini na porini na kuteka mijasusi kunahitaji physical
Mtoa mada hajui kwenye vita kuna askar wa nchi kavu haonagi Askar wa marekani walioko Afghanistan Wana vyo tembea milimani wakiwa wamebeba mizigo mingi sana
 
Ndugu siku hizi ukiwa huwezi kubuni na kuitumia teknolojia kwenye vita wewe ni dhaifu sana, hayo mabavu wala hayakusaidii kitu. UTAPIGWA MA MISULI YAKO. NA HAKIKA NAKWAMBIA NDANI YA MIAKA 20 TU IJAYO HUTOONA WANAJESHI WAKIENDA VITANI BALI WANAKAA OFISINI LAKINI WANAFANYA MAMBO.
Lazima askar wa miguu wawepo makomando we huonagi askar wa marekani Wana tumia nguvu kwenye Kubomoa huwez kutumia kushambulia kwa kutumia ndege pekee lazma Askari wakutumia nguvu waende kwenye tukio ili waweze kuteka nchi sasa jeshi gani Lina weza kushinda vita likiwa ofisini
 
Hahahaaa... inategemeana security phase ya nchi ikoje wakati huo wa tukio. Rais huwa anaongozwa katika kila kitu!

Ukerewe wakati wa ajali si ilikuwa jimbo la Chadema lile? Mbowe alihudhuria maziko?

Ninachokumbuka mimi JPM alitoa ubani mnene (lakini kwa vetting kali ya beneficiaries), gharama za maziko, Kituo cha afya kikajengwa day and night, mablanketi, chakula na kuwaomba wenye jimbo wachangie lakini kimya, Mbunge akajitumbua baada ya kuona chama chake kimemtelekeza wakati kwenye ajali ya MV Spice Islander I; Septemba 10, 2011 kilitoa salaam za rambirambi, JPM akaona fursa ya CCM kuchukuwa jimbo, akajipanga.

Mkuu JokaKuu, siasa ni balaa ndugu yangu, Ukerewe ilibadilika na kuwa kama Pemba ya Bara ambapo watu wamegawana misikiti, skuli za msingi na hawazikani kwasababu ya siasa. Sehemu pekee Wapemba wanakokaa pamoja na kula pamoja ni kwenye Vyuo Vya Mafunzo (Magereza)

..tukubaliane kwamba bwana yule alikuwa wa aina yake.

..Jwtz hawajawahi kupoteza askari wengi kwa mpigo kama ilivyotokea DRC.

..sasa tukio la kihistoria namna hiyo halafu Amiri Jeshi mkuu hashiriki kuwaaga askari waliofariki linastaajabisha, kama sio kukasirisha.

..Na ukiacha tukio hilo hakwenda kuaga Polisi waliouawa na magaidi, badala yake akaenda kufungua hostel za wanafunzi wa udsm.

..Zaidi, kuna misiba ya kitaifa ya Kagera na Ukerewe nako hakutokea.

..kusema kwamba hali ya usalama ilikuwa hairuhusu sio kweli. Kama Waziri Mkuu alikuwa salama kuhudhuria basi hata Raisi angekuwa salama.

..Kuhusu Mbowe au Chadema kutokuhudhuria msiba Ukerewe ilikuwa ni makosa makubwa. Hata kama walikuwa wamekosana na mbunge wao bado haikuwa sahihi kutokushiriki msiba ule.
 
Mzigo wote wa kirikuu, kapewa jamaa abebe
 
Mkuu umenena ukweli! Huwa najiuliza nakosa majibu! Hivi hizi show za kijeshi ni kumwonyesha nani kwamba asiichezee Tanzania? Hivi na US,Uingereza,Russia,China,France,Israel wanaweza kutishika na show za kijeshi kama hizi wakati ndiyo wanatupa mafunzo ya kijeshi na hizo silaha?
Ni show za kutisha Wapinzania hakuna cho chote! Sina hakika hata nchi za kiafrika kama Misri,Ethiopia,Nigeria,nk wanaweza kutishika!
we ulitaka jwtz wafanye shoo za kumtisha nani.??
Au unafikiri wapo pale kwa ajili ya kutishiaa..?
 
Shalom from Jerusalem,

Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.

Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.

Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.

Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.

Nawatakia siku njema.

View attachment 2079415

Kenge wewe...
 
Hayo ni maonesho tu
Hata nchi zilizoendelea wanafanya, haina maana ndio kinachotokea wakati wa vita
India kuna jimbo moja ambalo wakati wa kudai uhuru wananchi wote waligeuka kuwa wapiganaji na silaha waliyotumia ilikuwa ni kujisaidia haja kubwa kila kona ya maeneo anakoishi Mkoloni hadi Wakoloni walikimbia wenyewe. Vita ni mbinu.
 
Na wewe nenda kasome " the art of war" by Sun Tzu.

"Pretend to be weak when ur stronger and stronger when ur weak so that u will make ur enemies to focus on the tree instead of the whole forest." Sun Tzu

Mabeyo yupo Sahihi kuliko unavyo weza kufikiri..

Huyo Paul Scharre ni kabulyage
🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Ndio maana napitaga kimya kimya maana unaweza jiona unajua kumbe hujui. Ppl mnamajibu humu ndani
 
Nikajua wewe Mtaalamu wa vita Kumbe unataka tukasomea vitabu???

Bahari za watu jadilini video za umber rutty
 
Shalom from Jerusalem,

Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.

Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.

Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.

Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.

Nawatakia siku njema.

View attachment 2079415

Huu ni ujinga wa kutupwa. Haya mambo ni kijinga sana na yamepitwa na wakati.
 
Ingawa hapa si mahala pake ninashauri mambo ya maonesho ya JW au Polisi yasiwe wakati wa Parade rasmi. Napendekeza maonesho ya Jeshi yasiwepo kabisa. Huo utamaduni tuachane nao si wa kuiga. Tuwaachie Korea Kaskazini. Kama JW linapenda kutuonesha wananchi uwezo wao wachague kati ya Sikuu za Kijeshi watuoneshe, lakini siyo mbele ya wageni wetu wa kimataifa wakati wa sherehe za kitaifa.
 
Nikajua wewe Mtaalamu wa vita Kumbe unataka tukasomea vitabu???

Bahari za watu jadilini video za umber rutty
Kwani utaalam huanzia wapi kama si kusoma na kufanya kazi? mbona unaonesha ujinga wa kiwango cha juu kiasi hiki ndugu?
 
Watanzania vile wajuaji wa kila kitu.
Kweli wa Tz tunajua sana kupindukia ndio maana kule Cameroon hatupo zipo nchi kama Comoro, Cape Verde, Gambia, Gabon Bukina Faso, Malawi etc what a shame Taifa stars alafu ukiuliza kila mtu kocha wanajua kuliko hata Mourinho au Pep
 
Shalom from Jerusalem,

Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.

Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.

Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.

Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.

Nawatakia siku njema.

View attachment 2079415

Umekalili vitu, kila jeshi lina docrines zake kutokana na mazingira mahalia. Sisi hatuwezi wekeza kwenye baadhi ya Area ambazo siyo applicable kwa mazingira yetu. besides hayo mambo hata nchi hizo unazosema huwa wanafanya kwenye maonesho yao acheni story za vijiweni
 
Back
Top Bottom