Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

Watake radhi mkuu!

Hiyo ni kazi ya Polisi.

Walioibua MV Nyerere iliyozama kati ya Ukerewe na Ukara Septemba 20, 2018 ni nani kama siyo Marine Commandos wa TPDF Navy Division?

Taswira zote kwa hisani ya google

View attachment 2079602

View attachment 2079587

Combatant TPDF Navy servicemen in rescue mission in Ukerewe-Ukara Islands September 20, 2018.

View attachment 2079603
TPDF-Navy-led mission to bring afloat the sunken MV Nyerere September 20, 2018. Chadema walimsusia JPM (joke! joke! joke!)

..sijui sasa hivi hali ikoje.

..lakini wakati wa ajali they were not ready.

..na ajali ilitokea karibu na nchi kavu.

NB.

..hivi JPM alikwenda kuwazika wahenga wa ajali?

..yule bwana alikuwa mtu wa hovyo kiasi cha kupuuza kwenda kuaga askari waliofariki DRC na waliouawa na magaidi wa Mkiru.
 
Wanasema wao ni akili kubwa....! Akili kubwa inashindwa kupata wabunge watatu kwenye uchaguzi mkuu uliopita mpaka wapate wabunge wa 'mshanage' kwa mlango viti maalumu. Nikiwaangalia na sema ka kak ka kaaaa!
Jiwe yuko wapi siku hizi?
 
Idd Amin Dada tulimpiga kwa akili kwa silaha zake za msaada.

Tz imewekeza kwenye mafunzo zaidi (akili) wakati ikisubiri kupata uchumi wa kununua teknolojia.

Tz inajifunza silaha ambazo haina na haiwezi kuzinunua hata kwa miongo 4 mbele, ikitokea vita kama ilivyokuwa Kagera, TPDF inatumia akili kuteka na kuchukuwa silaha hizo za teknolojia ya juu na kuzitumia kushinda medani.

Ndyo maana ni jeshi bora Afrika ambalo UN inalitegemea sana kwasababu silaha nyingi ilizonazo UN, TPDF inajuwa kuzitumia bila kuhitaji mafunzo makubwa japo hainazo kwenye makambi yake.
Nchi zinazoongoza kwa kua na wanajeshi wengi kwny UN Missions Ni hizi:
1.Bangaladeshi-6608
2.Rwanda-6335
3.Ethiopia-6245
4.Nepal-5674
5.India-5528
6.Pakistan-4732
7.Egypt-3074
8.Indonesia-2792
9.China-2469
10.Ghana-2283
 
KUNA MJADALA MZITO SANA KWENYE MAJESHI YALIYOENDELEA IKIWA NI PAMOJA NA WANAJESHI WENGI KUPOTEZA AJIRA. HUHITAJI IDADI KUBWA NA MAKOMANDOO WENYE MWILI MKUBWA KUSHINDA VITA. FUNGUA AKILI NDUGU
hivi unajua kazi za commandos wewe?
 
Shalom from Jerusalem,

Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.

Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.

Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.

Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.

Nawatakia siku njema.

View attachment 2079415

Tatizo wanaoandaa haya maonesho ni maofisa wa kizazi kile Cha BBC(born before computer),wazee wasio jua Dunia inaendaje!!
Unaweza kuwauliza north Na south Korea,nini kinaendelea hawajuhi,au Russia,china,USA,UK nani anafanya nini kwenye kutengeneza siraha za kivita zilizo Bora,hao wazee Bado wanaamini jeshi linakamilishwa na army(infantry),Air wing(anga)na navy(majini,)!!wakati nchi zilizoendelea sasa hv Wana tengeneza branch ya far space,anga za mbali,kwenye satellite,huko kwenye sayari,zinawekwa siraha,Ili vita ikizuka,kwanza wanashambulia satellite zako za anga za mbali,wanakata mawasiliano yote ya cm,internet,na kutokea huko kwenye orbit,wanaweza wakakutwanga na missile ukaisha,
Haya maswala ya kuwabebesha vijana msvitu mazito hayana tija,hayaoneshi umarudadi wowote Wala ubobezi,yamepitwa na wakati,
Inabidi waanze kufikilia vitu vikubwa kama artificial intelligence,kuchezesha Ndege za kivita
 
Inabidi waanze kufikilia vitu vikubwa kama artificial intelligence,kuchezesha Ndege za

ASANTE SANA KWA CHANGAMOTO NZURI. ARTIFICIAL INTELLIGENCY NDIYO KILA KITU ILA SIJUI HATA IKIWA JESHI LETU LINAITUMIA KWA SASA.

FUTURE WAR NA HATA SASA IMEINGIA KWA KASI WATU HAWAPIGANI MOJA KWA MOJA BALI AI HIVYO MAGUVU YA MWILI HAYASAIDII TENA KWA DUNIA YA SASA
 
Nchi zinazoongoza kwa kua na wanajeshi wengi kwny UN Missions Ni hizi:
1.Bangaladeshi-6608
2.Rwanda-6335
3.Ethiopia-6245
4.Nepal-5674
5.India-5528
6.Pakistan-4732
7.Egypt-3074
8.Indonesia-2792
9.China-2469
10.Ghana-2283
Kuwa na idadi kubwa ya wanajeshi hakuna maana yoyote kwa dunia ya sasa. Unahitaji watu wachache wanaoweza kutumia AI kwa manufaa zaidi kushinda vita.

Duniani sasa wanajadili kuhusu wanajeshi kukosa kazi maana avita vya kwenda kwenye uwanja wa mapambano haupo tena.

Hivi hujiulizi ni kwa nini marekani imeamua kuondoa majeshi yake Afghanistan na maeneo mengine? na wadhani hakuna operations za kijeshi huko kwa kutumia AI zinaendelea?
 
Hakika tumbo ndio hua linatoa hewa chafu, makalio hua yanasingiziwa tu maana yenyewe hua Ni spika tu.
 
..sijui sasa hivi hali ikoje.

..lakini wakati wa ajali they were not ready.

..na ajali ilitokea karibu na nchi kavu.

NB.

..hivi JPM alikwenda kuwazika wahenga wa ajali?

..yule bwana alikuwa mtu wa hovyo kiasi cha kupuuza kwenda kuaga askari waliofariki DRC na waliouawa na magaidi wa Mkiru.

Hahahaaa... inategemeana security phase ya nchi ikoje wakati huo wa tukio. Rais huwa anaongozwa katika kila kitu!

Ukerewe wakati wa ajali si ilikuwa jimbo la Chadema lile? Mbowe alihudhuria maziko?

Ninachokumbuka mimi JPM alitoa ubani mnene (lakini kwa vetting kali ya beneficiaries), gharama za maziko, Kituo cha afya kikajengwa day and night, mablanketi, chakula na kuwaomba wenye jimbo wachangie lakini kimya, Mbunge akajitumbua baada ya kuona chama chake kimemtelekeza wakati kwenye ajali ya MV Spice Islander I; Septemba 10, 2011 kilitoa salaam za rambirambi, JPM akaona fursa ya CCM kuchukuwa jimbo, akajipanga.

Mkuu JokaKuu, siasa ni balaa ndugu yangu, Ukerewe ilibadilika na kuwa kama Pemba ya Bara ambapo watu wamegawana misikiti, skuli za msingi na hawazikani kwasababu ya siasa. Sehemu pekee Wapemba wanakokaa pamoja na kula pamoja ni kwenye Vyuo Vya Mafunzo (Magereza)
 
Nanyi wote wawili mkasome:-

1. War is mainly a catalogue of blunders. ... The power of making war often prevents it, Lewis F. Korns.

2. War settles nothing, Herbert V. Prochnow.

3. Armies are not bad things in themselves; it’s war that’s evil, Dwight D. Eisenhower.

NB.
Duniani kote watu weupe wanaiheshimu Afrika pekee kwa vita aina ya guerrilla (vita vya msituni) . Hii ndiyo version ya vita iliyoleta ukombozi Afrika. US imejaribu kujifunza guerrilla lakini imewashinda, wamepoteza wapiganaji wengi kwenye mazoezi ya medani ya guerrilla. Guerrilla haihitaji teknolojia kubwa ya gharama na inahitaji mbinu kama hizo za ubebaji magunia mgongoni (uimara physically).

Aidha, Afrika haina uwezo wa kununua teknolojia hizo unazosema, labda baada ya miaka 50 ijayo, hivyo inabidi Afrika itegemee ilichonacho mkononi (guerrilla/ubebaji magunia).
Huelewei maana ya guerrilla. Vita vya guerilla vinapiganwa hata mjini na kwenye majiji sio msituni tu.
 
Wewe bado mchanga sana kwenye haya mambo, ili useme umeshinda vita ni lazima infantria kukalia eneo. Teknolojia inasaidia katika upelelezi na kumpunguza nguvu adui. Infantria ndio jeshi na ndio nguvu ya kijeshi.
 
Hayo ni maonesho tu
Hata nchi zilizoendelea wanafanya, haina maana ndio kinachotokea wakati wa vita
Nchi zilizoendelea hawafanyi haya mambo tena. Nchi nyingi zilizoendelea zilizopata uhuru wanafanya parade kisha wanachi wanaendelea na shamra shamra mitaani, pia huitumia siku ya uhuru kujifunza historia ya watu mashuhuri waliopigania uhuru.
 
Shalom from Jerusalem,

Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.

Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.

Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.

Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.

Nawatakia siku njema.

View attachment 2079415

Punguza negativity Kwa nchi yako
 
Tatizo wanaoandaa haya maonesho ni maofisa wa kizazi kile Cha BBC(born before computer),wazee wasio jua Dunia inaendaje!!
Unaweza kuwauliza north Na south Korea,nini kinaendelea hawajuhi,au Russia,china,USA,UK nani anafanya nini kwenye kutengeneza siraha za kivita zilizo Bora,hao wazee Bado wanaamini jeshi linakamilishwa na army(infantry),Air wing(anga)na navy(majini,)!!wakati nchi zilizoendelea sasa hv Wana tengeneza branch ya far space,anga za mbali,kwenye satellite,huko kwenye sayari,zinawekwa siraha,Ili vita ikizuka,kwanza wanashambulia satellite zako za anga za mbali,wanakata mawasiliano yote ya cm,internet,na kutokea huko kwenye orbit,wanaweza wakakutwanga na missile ukaisha,
Haya maswala ya kuwabebesha vijana msvitu mazito hayana tija,hayaoneshi umarudadi wowote Wala ubobezi,yamepitwa na wakati,
Inabidi waanze kufikilia vitu vikubwa kama artificial intelligence,kuchezesha Ndege za kivita
Can NBC compete with US Federal Reserve Bank in banking market? (Nyerere, J.K. 1998)
ASANTE SANA KWA CHANGAMOTO NZURI. ARTIFICIAL INTELLIGENCY NDIYO KILA KITU ILA SIJUI HATA IKIWA JESHI LETU LINAITUMIA KWA SASA.

FUTURE WAR NA HATA SASA IMEINGIA KWA KASI WATU HAWAPIGANI MOJA KWA MOJA BALI AI HIVYO MAGUVU YA MWILI HAYASAIDII TENA KWA DUNIA YA SASA
Nakumbuka August 7, 1998 Balozi za Marekani Afrika Mashariki ziliposhambuliwa kwa mabomu FBI walilazimika kuja kwenye maeneo ya tukio, hawakutuma teknolojia tu badala ya binadamu. Na hata walipofika bado walihitaji msaada wa askari binadamu wa Tz kujuwa Manzese Uwanja wa Fisi ni wapi ili wakafanye msako kwasababu intelijensia iliwaelekeza huko.
 
Huelewei maana ya guerrilla. Vita vya guerilla vinapiganwa hata mjini na kwenye majiji sio msituni tu.
Base ya Guerrilla haikai mijini. Maaskari wanatoka Lugalo (mjini) wanahamia porini.

The war is fought from the bush to the human settlements (both rural and urban).

Definition of Guerrilla Warfare:
Guerrilla warfare is a form of irregular warfare in which small groups of combatants, such as paramilitary personnel, armed civilians, or irregulars, use military tactics including ambushes, sabotage, raids, petty warfare, hit-and-run tactics, and mobility, to fight a larger and less-mobile traditional military.

Wazungu wana ujuzi na vita vya mijini siyo vya porini. Jeshi pekee duniani ukitoa Afrika; ambalo lina ujuzi na guerrilla ni la Israel, ndiyo maana Savimbi alivyoshinda Wareno kutokomeza kwa miongo mingi ilibidi waombe msaada wa Muisrael ambaye ilimchukuwa siku 5 tu kumfikia huko porini kwenye maficho na kurudi na kichwa chake mjini Luanda.
 
Wewe bado mchanga sana kwenye haya mambo, ili useme umeshinda vita ni lazima infantria kukalia eneo. Teknolojia inasaidia katika upelelezi na kumpunguza nguvu adui. Infantria ndio jeshi na ndio nguvu ya kijeshi.
Uelewa wako bado uko nyuma sana enzi za vita vya Kagera. Nenda kajifunze zaidi.
 
KUNA MJADALA MZITO SANA KWENYE MAJESHI YALIYOENDELEA IKIWA NI PAMOJA NA WANAJESHI WENGI KUPOTEZA AJIRA. HUHITAJI IDADI KUBWA NA MAKOMANDOO WENYE MWILI MKUBWA KUSHINDA VITA. FUNGUA AKILI NDUGU
Bahati nzuri Mambo mengi ktk nchi zilizoendelea hasa Marekani mambo yao mengi yapo wazi kuanzia Training na hata mazoezi na Maisha ya wanajeshi wake.

Ni kwanini sasa nchi hizo zinataka Askari wenye nguvu na Mafunzo makali.
Ni kwanini kwa Marekani suala la ukakamavu na nguvu kwao ni Sheria na lazima ifuatwe. Kwanini kwao ni mwiko kwa Askari kuwa legelege na KITAMBI.
TUNGEKUWA KAMA WAO KIMAENDELEO NA TEKNOLOJIA NAONA UNGESHAURI WANAJESHI WETU WASIKIMBIE HATA MCHAKAMCHAKA

Kwao tunaona hata Askari anayefanya kazi za Hospital/Dr au kokote kusikohitaji miguvu lakini bado anatakiwa kuwa mkakamavu. Sisi Askari wetu labda hao makomandoo tu ndio hutaona vitambi but wengine huwezi kutofautisha MENEJA WA NIDA NA ASKARI NI YUPI.

FUATILIA NCHI ZOTE ZILIZOENDELEA KTK TEKNOLOJIA KAMA HUTAONA AIBU NA UNACHOKOSOA KWA WANAJESHI WAKO
 
Shalom from Jerusalem,

Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.

Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.

Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.

Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.

Nawatakia siku njema.

View attachment 2079415

Hatuna zana nzito zakuonesha, kwaiyo, makomandoo ndo mbadala wake
 
Back
Top Bottom