Tatoo jeshi la Marekani huajiliwi acha kudanga watu hapa.US siku hizi wanaajiri hadi walemavu kuwa Maaskari wakati Tz kuwa na tatoo tu ni disqualification.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatoo jeshi la Marekani huajiliwi acha kudanga watu hapa.US siku hizi wanaajiri hadi walemavu kuwa Maaskari wakati Tz kuwa na tatoo tu ni disqualification.
Umewai kuangalia maonesho ya korea au china,, kama umewai kuangalia unaweza conclude kwamba nao hawategemei teknolojia au maonesho ya komando ni kama changamsha sherehe tu?. Kwahiyo kwa mawazo yako nategemea jibu na wale wamepitwa na wakati kutumia komando kwenye maonesho na hawana teknolojia nzuri.Tatizo wanaoandaa haya maonesho ni maofisa wa kizazi kile Cha BBC(born before computer),wazee wasio jua Dunia inaendaje!!
Unaweza kuwauliza north Na south Korea,nini kinaendelea hawajuhi,au Russia,china,USA,UK nani anafanya nini kwenye kutengeneza siraha za kivita zilizo Bora,hao wazee Bado wanaamini jeshi linakamilishwa na army(infantry),Air wing(anga)na navy(majini,)!!wakati nchi zilizoendelea sasa hv Wana tengeneza branch ya far space,anga za mbali,kwenye satellite,huko kwenye sayari,zinawekwa siraha,Ili vita ikizuka,kwanza wanashambulia satellite zako za anga za mbali,wanakata mawasiliano yote ya cm,internet,na kutokea huko kwenye orbit,wanaweza wakakutwanga na missile ukaisha,
Haya maswala ya kuwabebesha vijana msvitu mazito hayana tija,hayaoneshi umarudadi wowote Wala ubobezi,yamepitwa na wakati,
Inabidi waanze kufikilia vitu vikubwa kama artificial intelligence,kuchezesha Ndege za kivita
Wazungu hawakushindwa walikaa kimkakati zaidi na kupata madini..huoni ishu ya boko haramu Nigeria hawaingizi Timu wana faida nayo hao wahuni..Waliofukuza Maimai, M23, ni MONUSCO kupitia Majeshi ya Afrika kama TPDF (Tz), ZNA (Zimbabwe) na SAA (South Africa) baada ya Majeshi ya weupe kushindwa ule msitu.
Na wao kwenye maonyesho yao wanabeba magunia nadhani hoja ni kubeba mizigo ya canter kwenye maonyesho sio mafunzo..inaonesha hujui chochote kuhusu vita, marekani ndio wako juu kiteknolojia, umefuatilia mafunzo ya komandoo wao au uingereza? unademka dogo!
Amesoma kitabu kimoja ndiyo tayari amekuwa advisor wa Mabeyo. Haa haa!!Watanzania vile wajuaji wa kila kitu.
You are right. Wamarekani walikuwa na mbinu na teknolojia zote za kivita lakini walishindwa kwa kipindi kirefu kumkamata Osama kwa vile kumbe walikosa mbinu za kumkamata kwenye yale mapango ya Torabora.Mleta mada hajui vita
Kuna ebeo unahitaji physical presence sio teknolojia tu
Osama kuua kulitumika mbinu zote physical na technological
Kuteka hutumii teknolojia tu au kupambana na magaidi huhitaji teknolojia tu
Hata kupambana mijini na porini na kuteka mijasusi kunahitaji physical
Kwa hoja hii uliyotoa lazima utakufa masikini, tena wa kutupwa.Amesoma kitabu kimoja ndiyo tayari amekuwa advisor wa Mabeyo. Haa haa!!
Nchi hii inawachambuzi wa soka wengi kuliko wanamichezo(wachezaji) halafu wasivyo na aibu wanachambua afcon wakati hata taifa star haipo, hatujiulizi tu?? Leo kwel tutaweza mambo ya jeshi??Kweli wa Tz tunajua sana kupindukia ndio maana kule Cameroon hatupo zipo nchi kama Comoro, Cape Verde, Gambia, Gabon Bukina Faso, Malawi etc what a shame Taifa stars alafu ukiuliza kila mtu kocha wanajua kuliko hata Mourinho au Pep
Umekosea sana kama mcheza mpira anafanya mazoezi ndo iwe jeshi naomba tu ujue mazoezi hu improve endurance.Shalom from Jerusalem,
Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.
Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.
Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.
Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.
Nawatakia siku njema.
View attachment 2079415
Wewe endelea kusoma hicho kitabu chako kimoja upate kutajirika.Kwa hoja hii uliyotoa lazima utakufa masikini, tena wa kutupwa.
Naona unaishi ktk Fiction, na Movie pekeee.Ndugu siku hizi ukiwa huwezi kubuni na kuitumia teknolojia kwenye vita wewe ni dhaifu sana, hayo mabavu wala hayakusaidii kitu. UTAPIGWA MA MISULI YAKO. NA HAKIKA NAKWAMBIA NDANI YA MIAKA 20 TU IJAYO HUTOONA WANAJESHI WAKIENDA VITANI BALI WANAKAA OFISINI LAKINI WANAFANYA MAMBO.
We bado uko nyuma sana ndugu. Dunia ya sasa haiko kama unavyofikiria. Miaka michache ijayo automation kwenye vita haitoepukika. Tazama hii animation video ya kiongozi wa Iran akionesha kum assassinate Trump hapa ndipo dunia ilipofikia.Naona unaishi ktk Fiction, na Movie pekeee.
back to reality. Ukipata jifunze na hiyo unayo ita technology, once mkiweka kila kitu automated, computerized kuwa tayari pia kutawaliwa au kuingiliwa system zenu hizo kutokea mbali kwa ma geek wa maadui.
Kila taifa upande jeshi kuna division mbalimbali, na division muhimu ni lazima kuwa na watu wanao weza kufanya dirty works. Ukicheck hata hao unao waona na system kali, bado wana divisiona za watu wanaopiga dirty works. Navyseal USA, green Barrett UK,Komando Ggk Malaysia, Addition ni wanaongezewa tu special equipments, basi.
Chungulia mafunzo ya hao,uone kama wanakaa ndani na kukaanga mayai huku wanachezea Computer. Hizo drones, Jets, zina nafasi yake pia
ALIYEKWAMBIA NASOMA KITABU KIMOJA NI NANI? UMASIKINI ULIONAO UTAONGEZEKA MARA KUMI ZAIDI IKIWA UNAFIKIRI NAMNA HIYO.Wewe endelea kusoma hicho kitabu chako kimoja upate kutajirika.
Mazoezi ya viungo kila mwanadamu anahitaji. Hoja yangu ni kwamba mwanajeshi huhitaji maguvu kushinda vita vya kisasa bali ni kutumia teknolojia.Umekosea sana kama mcheza mpira anafanya mazoezi ndo iwe jeshi naomba tu ujue mazoezi hu improve endurance.
Umenikumbusha tukio la miaka michache iliyopita,taifa la Russia lilivamia nchi ya Georgia,siku kadhaa kabla ya kuvamia,waRussia walikuwa wamezihack computer zote nchi nzima ya Georgia ,computer hizo zilishindwa kufanya kazi.Ndugu siku hizi ukiwa huwezi kubuni na kuitumia teknolojia kwenye vita wewe ni dhaifu sana, hayo mabavu wala hayakusaidii kitu. UTAPIGWA MA MISULI YAKO. NA HAKIKA NAKWAMBIA NDANI YA MIAKA 20 TU IJAYO HUTOONA WANAJESHI WAKIENDA VITANI BALI WANAKAA OFISINI LAKINI WANAFANYA MAMBO.
Usi ringaanishe Tz na us ndugu yangu us ukisema wangap wanataka kuwa Wana jesh huwez kupata number kubwa kama itakavyo kuwa kwa Tz Aangalia vijana wangap hapa Tz wa navyo itaka iyo nafasi ya kuwa wanaujesh.US siku hizi wanaajiri hadi walemavu kuwa Maaskari wakati Tz kuwa na tatoo tu ni disqualification.
Sawa ila vitu vimebadilika sana.Na wewe nenda kasome " the art of war" by Sun Tzu.
"Pretend to be weak when ur stronger and stronger when ur weak so that u will make ur enemies to focus on the tree instead of the whole forest." Sun Tzu
Mabeyo yupo Sahihi kuliko unavyo weza kufikiri..
Huyo Paul Scharre ni kabulyage
Duh kwa capital letters!!!!!ALIYEKWAMBIA NASOMA KITABU KIMOJA NI NANI? UMASIKINI ULIONAO UTAONGEZEKA MARA KUMI ZAIDI IKIWA UNAFIKIRI NAMNA HIYO.
View attachment 2085297Tatoo jeshi la Marekani huajiliwi acha kudanga watu hapa.