Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

Tatizo wanaoandaa haya maonesho ni maofisa wa kizazi kile Cha BBC(born before computer),wazee wasio jua Dunia inaendaje!!
Unaweza kuwauliza north Na south Korea,nini kinaendelea hawajuhi,au Russia,china,USA,UK nani anafanya nini kwenye kutengeneza siraha za kivita zilizo Bora,hao wazee Bado wanaamini jeshi linakamilishwa na army(infantry),Air wing(anga)na navy(majini,)!!wakati nchi zilizoendelea sasa hv Wana tengeneza branch ya far space,anga za mbali,kwenye satellite,huko kwenye sayari,zinawekwa siraha,Ili vita ikizuka,kwanza wanashambulia satellite zako za anga za mbali,wanakata mawasiliano yote ya cm,internet,na kutokea huko kwenye orbit,wanaweza wakakutwanga na missile ukaisha,
Haya maswala ya kuwabebesha vijana msvitu mazito hayana tija,hayaoneshi umarudadi wowote Wala ubobezi,yamepitwa na wakati,
Inabidi waanze kufikilia vitu vikubwa kama artificial intelligence,kuchezesha Ndege za kivita
Umewai kuangalia maonesho ya korea au china,, kama umewai kuangalia unaweza conclude kwamba nao hawategemei teknolojia au maonesho ya komando ni kama changamsha sherehe tu?. Kwahiyo kwa mawazo yako nategemea jibu na wale wamepitwa na wakati kutumia komando kwenye maonesho na hawana teknolojia nzuri.
 
Waliofukuza Maimai, M23, ni MONUSCO kupitia Majeshi ya Afrika kama TPDF (Tz), ZNA (Zimbabwe) na SAA (South Africa) baada ya Majeshi ya weupe kushindwa ule msitu.
Wazungu hawakushindwa walikaa kimkakati zaidi na kupata madini..huoni ishu ya boko haramu Nigeria hawaingizi Timu wana faida nayo hao wahuni..
 
inaonesha hujui chochote kuhusu vita, marekani ndio wako juu kiteknolojia, umefuatilia mafunzo ya komandoo wao au uingereza? unademka dogo!
Na wao kwenye maonyesho yao wanabeba magunia nadhani hoja ni kubeba mizigo ya canter kwenye maonyesho sio mafunzo..
 
Mleta mada hajui vita
Kuna ebeo unahitaji physical presence sio teknolojia tu

Osama kuua kulitumika mbinu zote physical na technological

Kuteka hutumii teknolojia tu au kupambana na magaidi huhitaji teknolojia tu

Hata kupambana mijini na porini na kuteka mijasusi kunahitaji physical
You are right. Wamarekani walikuwa na mbinu na teknolojia zote za kivita lakini walishindwa kwa kipindi kirefu kumkamata Osama kwa vile kumbe walikosa mbinu za kumkamata kwenye yale mapango ya Torabora.

Niliona documentary moja ilikuwa inaeleza ambavyo ilibidi warudi kwenye drawing board kupanga mikakati mipya ya jinsi ya kumkamata.
 
Mimi sikubaliani na hayo wanayoonyesha yawe ya kizamani au ya kisasa ,naziita showing off, na Watu wa Chama kile Cha Mashetani huwatumia watu hao kuwatisha jamii na upinzani na si vinginevyo.

MiCCM ifahamu kuwa umma utakapoamua hayo wanayowatisha watu kwenye viwanja havitawasaidia ,naona wajikite katika kutenda Haki na kumuogopa Muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo .

wangapi walikuwa na vifaa na zana kubwa kubwa za kijeshi leo hii wapo wapi wameangushwa na hawapo . Nyie wabebesheni mazigo tu kwenye sheree zenu siku wakisema miaka inapita mnawashindisha na njaa ,wakani nyie mliopo madarakani mnahimizana kula urefu wa kamba zenu ndio mtajua kama embe ntunda.
 
Kweli wa Tz tunajua sana kupindukia ndio maana kule Cameroon hatupo zipo nchi kama Comoro, Cape Verde, Gambia, Gabon Bukina Faso, Malawi etc what a shame Taifa stars alafu ukiuliza kila mtu kocha wanajua kuliko hata Mourinho au Pep
Nchi hii inawachambuzi wa soka wengi kuliko wanamichezo(wachezaji) halafu wasivyo na aibu wanachambua afcon wakati hata taifa star haipo, hatujiulizi tu?? Leo kwel tutaweza mambo ya jeshi??
 
Shalom from Jerusalem,

Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.

Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.

Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.

Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.

Nawatakia siku njema.

View attachment 2079415

Umekosea sana kama mcheza mpira anafanya mazoezi ndo iwe jeshi naomba tu ujue mazoezi hu improve endurance.
 
Ndugu siku hizi ukiwa huwezi kubuni na kuitumia teknolojia kwenye vita wewe ni dhaifu sana, hayo mabavu wala hayakusaidii kitu. UTAPIGWA MA MISULI YAKO. NA HAKIKA NAKWAMBIA NDANI YA MIAKA 20 TU IJAYO HUTOONA WANAJESHI WAKIENDA VITANI BALI WANAKAA OFISINI LAKINI WANAFANYA MAMBO.
Naona unaishi ktk Fiction, na Movie pekeee.

back to reality. Ukipata jifunze na hiyo unayo ita technology, once mkiweka kila kitu automated, computerized kuwa tayari pia kutawaliwa au kuingiliwa system zenu hizo kutokea mbali kwa ma geek wa maadui.

Kila taifa upande jeshi kuna division mbalimbali, na division muhimu ni lazima kuwa na watu wanao weza kufanya dirty works. Ukicheck hata hao unao waona na system kali, bado wana divisiona za watu wanaopiga dirty works. Navyseal USA, green Barrett UK,Komando Ggk Malaysia, Addition ni wanaongezewa tu special equipments, basi.

Chungulia mafunzo ya hao,uone kama wanakaa ndani na kukaanga mayai huku wanachezea Computer. Hizo drones, Jets, zina nafasi yake pia
 
Naona unaishi ktk Fiction, na Movie pekeee.

back to reality. Ukipata jifunze na hiyo unayo ita technology, once mkiweka kila kitu automated, computerized kuwa tayari pia kutawaliwa au kuingiliwa system zenu hizo kutokea mbali kwa ma geek wa maadui.

Kila taifa upande jeshi kuna division mbalimbali, na division muhimu ni lazima kuwa na watu wanao weza kufanya dirty works. Ukicheck hata hao unao waona na system kali, bado wana divisiona za watu wanaopiga dirty works. Navyseal USA, green Barrett UK,Komando Ggk Malaysia, Addition ni wanaongezewa tu special equipments, basi.

Chungulia mafunzo ya hao,uone kama wanakaa ndani na kukaanga mayai huku wanachezea Computer. Hizo drones, Jets, zina nafasi yake pia
We bado uko nyuma sana ndugu. Dunia ya sasa haiko kama unavyofikiria. Miaka michache ijayo automation kwenye vita haitoepukika. Tazama hii animation video ya kiongozi wa Iran akionesha kum assassinate Trump hapa ndipo dunia ilipofikia.

JWTZ KUTUONESHA MAGUNIA KWA DUNIA YA LEO NI AIBU, WANATAKIWA KUTUONESHA WANAWEZA VIPI KU TARGET JENGO AMA MTU HUSIKA NA KUMSHAMBULIA BILA WAO KUWEPO ENEO LA TUKIO SIYO MAGUNIA.

 
Umekosea sana kama mcheza mpira anafanya mazoezi ndo iwe jeshi naomba tu ujue mazoezi hu improve endurance.
Mazoezi ya viungo kila mwanadamu anahitaji. Hoja yangu ni kwamba mwanajeshi huhitaji maguvu kushinda vita vya kisasa bali ni kutumia teknolojia.
 
Ndugu siku hizi ukiwa huwezi kubuni na kuitumia teknolojia kwenye vita wewe ni dhaifu sana, hayo mabavu wala hayakusaidii kitu. UTAPIGWA MA MISULI YAKO. NA HAKIKA NAKWAMBIA NDANI YA MIAKA 20 TU IJAYO HUTOONA WANAJESHI WAKIENDA VITANI BALI WANAKAA OFISINI LAKINI WANAFANYA MAMBO.
Umenikumbusha tukio la miaka michache iliyopita,taifa la Russia lilivamia nchi ya Georgia,siku kadhaa kabla ya kuvamia,waRussia walikuwa wamezihack computer zote nchi nzima ya Georgia ,computer hizo zilishindwa kufanya kazi.
 
US siku hizi wanaajiri hadi walemavu kuwa Maaskari wakati Tz kuwa na tatoo tu ni disqualification.
Usi ringaanishe Tz na us ndugu yangu us ukisema wangap wanataka kuwa Wana jesh huwez kupata number kubwa kama itakavyo kuwa kwa Tz Aangalia vijana wangap hapa Tz wa navyo itaka iyo nafasi ya kuwa wanaujesh.

Tz hapa karibu robo ya vijana ukiwambia jeshin Kuna nafasi wote wata kwenda tofauti na izo nch zingine
 
Na wewe nenda kasome " the art of war" by Sun Tzu.

"Pretend to be weak when ur stronger and stronger when ur weak so that u will make ur enemies to focus on the tree instead of the whole forest." Sun Tzu

Mabeyo yupo Sahihi kuliko unavyo weza kufikiri..


Huyo Paul Scharre ni kabulyage
Sawa ila vitu vimebadilika sana.
 
Tatoo jeshi la Marekani huajiliwi acha kudanga watu hapa.
View attachment 2085297
1642441272553.png

1642441382046.png

Taswira kwa hisani ya google

1642441169183.png
 
Back
Top Bottom