matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Asante kwa commentMwisho wa akili yako , jichokonoe pua afu nusa
kwanini kisitumike kiswahili kwenye interview na iko kingereza kitume kwnye organization za kimataifa huko..Wasomi wengi hawawezi kuongea kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kule unachokielewa basi wewe hukielewi. Na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako.
nadhani itabaki vivyo hivyo ๐Wasomi wengi hawawezi kuongea kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kule unachokielewa basi wewe hukielewi. Na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako.
Naunga mkono hoja!Wasomi wengi hawawezi kuongea kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kule unachokielewa basi wewe hukielewi. Na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako.
Kiingereza ni lugha na si kipimo cha kuelewa mambo.Wasomi wengi hawawezi kuongea kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kule unachokielewa basi wewe hukielewi. Na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako.
Haya, hiyo Samaki mkunje angali mbichi iandike kwa kiinglishi shemela..!!Elimu ya primary lugha iwe English. Samaki mkunje angali mbichi
Haya, hiyo Samaki mkunje angali mbichi iandike kwa kiinglishi shemela..!!
Shida ni pale mpimaji na mpimwaji wote ni walewale masalia ya Jiwe.Wasomi wengi hawawezi kuongea kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kule unachokielewa basi wewe hukielewi. Na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako.
Kama mambo umefundishwa kwa kiingereza, unataka tukupimeje uelwa wako kwa Kiswahili๐๐๐Kiingereza ni lugha na si kipimo cha kuelewa mambo.