GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Lakini unapokielewa vizuri itakurahisishia mawasiliano katika ngazi ya Kimataifa.Kiingereza ni lugha na si kipimo cha kuelewa mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini unapokielewa vizuri itakurahisishia mawasiliano katika ngazi ya Kimataifa.Kiingereza ni lugha na si kipimo cha kuelewa mambo.
Kiswahili ni kigumu mno. Kama huamini, iseti simu yako kwa lugha ya Kiswahili kama hutashindwa kuelewa baadhi ya maelekezo yake, labda kama umebobea kwenye lugha ya Kiswahili.Kiswahili ni kigumu kuliko kingereza 😂😂😂 ..Ngoja aanze kuandaa madokezi sabili hapo ndip utajua kiswahili ni nn.
Binafsi bora watumie kingereza ila kiswahili jau sana kina maneno magumu na ndio yanatumika ofisini.
English kina njiw nyingi rahsi kama ulikuwa hujui watu wanaweza kuandika kwa ms word then ikamsahihisha spelling mpaka grammar ,kuna tools kibao za AI .
Duuuh! Umesoma wapi hii ?China imetajirika baada ya kuachana na kichina tu na kutumia lugha zingine.
Unajua sababu kuu ya Singapore kutumia kiingereza na kuacha mandarin, malay na tamil ?Tujifunze kwa Singapole. Maana China ilijifunza kwa Singapole. Deng Xioping alijifunza kwa Lee Kuan Yew.
Lugha ya taifa wanayo ya kwao, lakini lugha ya msingi (main language) ni Kiingereza. Maana Rais Baba wa taifa lao alikuwa na maono ya kuifanya singapole kuwa Bwawa la waajiriwa wenye viwango. Yaani dunia nzima maHR wafunge safari kwenda kuchota waajiriwa wenye viwango vya kimataifa.
Hawa ndio walikuwa kama sisi kabla ya uhuru.
Kuna faida gani sasa kwenye hizo shule ?Af utakuta kataa ndoa na MMU wanaungana Kuponda shule English medium et ni hasara kusomesha Mtoto uko [emoji28]
Kiingereza kama hukiongei mara kwa mara au husomi haduthi, magazeti,habari au majarida ya kiingereza lazima kikushinde kuongea.Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.
Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.
Nini maoni yako?
Sio kila maamuzi ya kipuuzi unaweza chukua kwa sababu tu wewe ni dikteta utaua watu hovyo hovyo kama kichaaLee Kuan Yew aka ' Brilliant Dictator.'
Alikuwa na Daraja la juu kabisa Chuo cha Cambridge, Uk alipomaliza Sheria.
Mchina mlowezi, angesisitiza Lugha za asili maana alikuwa akisema kitu hakuna wa kupinga. Hata kutema mate chini Singapole ilikuwa ukijulikana inafungwa.
Si lazima kama huna mpango wa kwenda kwao. Vinginevyo uwe na mkalimani, kitu ambacho ni gharama zaidi kuliko gharama ya kujifunza.Kwanini tunapenda shobo kwa lugha ya mkoloni? MAmbo mengi Ovyo kabisa, ni vizuri kujua lugha za kigeni lakini sio lazima.
Kuna faida gani sasa kwenye hizo shule ?
Ubaya ni kwamba hufahamu unachoongea.Hautakua siriaz mkuu
mimi st kayumba tabu ninayopata sasa iv bas tu ningekua hangouts na mtu wa maana ama ningekua kwa wenzetu kwanza sijiamin
Huyo ana shahada ya socialogyUko sahihi ila pia huko sahihi
Uko sahihi kwakua language acquisition skill inahitaji intelligence
Hauko sahihi kwakua kuna multiple intelligence, mtu aweka kua vibaya kwenye language akawa mzuri kwenye logic ( mathematics)