Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

Kuna bwana yeye alikuwa ama PhD lakini kikristu kilikuwa kinampiga chenga kiasi cha kuogopa hata kuvuka mipaka
 
Hata pale Kampala,M7 alishawahi OKOA jahazi,baada ya JIWE kubananishwa na waandishi wa habari..

Nilichofanya,wanangu sehemu kubwa ya maisha yao,wanaongea hicho kinachoitwa KIDHUNGU
Ni ujinga kukifanya kiingereza kuwa bidhaa badala ya lugha ya kawaida. Mwingereza hakuwahi kutuuzia lugha yake ya kiingereza, aliitoa bure ili aweze kufanya biashara nasi, China imetajirika baada ya kuachana na kichina tu na kutumia lugha zingine.
 
Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.

Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.

Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.

Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.

Nini maoni yako?
Kweli kabisa
 
kujua kiingereza sio ishara ya usomi, kuna wahuni wengi wanaongea hicho kiingereza chako lakini hawana chochote wanajua.
 
Primary ni kiswahili na ndo lugha mtoto wa kitanzania huelewa wakati anafundishwa, cha ajabu lugha inabadilika ghafla akiingia secondary, somo moja tu ndo linabaki kwa lugha ya kiswahili. Nacho kiswahili cha secondary ni maneno ambayo hata kwenye eneo la shule hayatumiki mara kwa mara magumu. (Hata translation ya google nayo hovyo tu)

Katika umri wa kujifunza lugha yo yote na kuielewa vizuri ni wakati wa utoto huko primary hata ukikosea hakuna wa kukucheka wala wa kukaa nalo moyoni kuwa ulikosea

Bora aliyekomea O’/A level atakorogesha bora liende kuliko alomaliza chuo ni aibu hata kwa aliyemsomesha.

Watunga sera za elimu wenyewe watoto wao hawasomi kwenye zile shule za kutwa nzima ni kiswahili tu ndo lugha ya mawasiliano.

Kwa dunia ya sasa lugha ya kiingereza haikwepeki hasa kwa msomi aliyemaliza chuo kikuu.

Lugha ya kiingereza ukiiongea vizuri hata kuijiamini kunaongezeka full furaha sasa ikosee uone unavyokuwa mdogo
 
Upo sahihi,,Ila utakuwaje na degree inayofundishwa kwa Kiingereza wakati hujui/huelewi Kiingereza
Kama umesoma Tanzania hii utakuwa unafahamu kabisa namna tunavyofundishwa, notice zipo kwa kiingereza, ila baada ya kusomwa zinalezewa kwa kiswahili, assignment zipo kwa kiingereza ila tunazi_discus kwa kiswahili, kwenye mtihani kabla sijajibu swali nalisoma kwa kiingereza, nitalitafakari kwa kiswahili, then nitalijibu kwa kiingereza. Tukienda field hakuna kiingereza huko ni kiswahili tuu. Hata nikikumbuka kuanzia primary school somo la kiingereza linafundishwa kwa kiswahili sasa hapo utajifunza kingereza gani??. Kwa uhalisia ndio maana viingereza tulivyo navyo ni vya kuunga unga.
 
Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.

Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.

Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.

Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.

Nini maoni yako?
Huwa ninashangaa sana mtu aliyepata elimu yake kwa lugha ya kiingereza, ashindwe kuielezea elimu hiyo kwa lugha aliyojifunzia.

Huwa ni kitu gani hiki?
 
Mbona umeandika Viseversa
Kwa mtizamo wako.ila mimi nilichoandika ndicho nilichomaanisha.
Usilolijua ni kuwa kiingereza ni lugha kama kilugha cha kwenu.
ukizaliwa sehemu automatically utaongea lugha inayoongelewa sehemu ile.
Ukienda shule,watakufundisha kuandika unachoongea.Usipoenda shule unaishia kujua kuongea
ila huwezi andika.
 
Sasa Mkuu unaelewa mada kweli, sisi tunazungumzia watanzania hasa Graduates ambao kiingereza kwao ni lugha ya pili wanaijua kwa kujifunza ndio maana nikasema umesema Vise Versa maana kwa uwelewa wangu wanajua kiingereza cha kuandika zaidi kuliko kuongea kama utapima asilimia basi kusoma na kuandika 60% ila kuongea only 40%.

Wewe unakuja kusema masuala ya kuzaliwa sijui ulaya sijui wapi
 
Kuna mtu alienda kwenye interview akashindwa kujibu maswali kwa English akamuambia muajiri mm niko compitent kwenye kazi ila shughuli ni hii lugha, naomba mtu wa kunitafsiria mm nitaongea Kiswahili ili na ww uelewe maana muajiri alikua muhindi
 
Then atahudumia vipi wateja wanaoongea lugha ya kiingereza, hili suala basi tu tunajitete ila kiingereza muhimu jubilation nilikuwa Dukani tu wateja wanaokuja wengi hawajui kiswahili ni kiingereza tu so hata kama nipo competent kwenye kujua Products ila inabidi wateja niwalezee kwa kiingereza mpaka anunue
 
Upo sahihi,,Ila utakuwaje na degree inayofundishwa kwa Kiingereza wakati hujui/huelewi Kiingereza
Hii pia ni ushahidi kuwa hiyo degree au PHD umeipata kimakosa na hutakiwi kutiliwa maanani.

Umepataje A kwenye mambo ya Lugha ambayo hata wewe huijui ?
 
Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.

Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.

Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile unachokielewa basi wewe hukielewi na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.

Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.

Nini maoni yako?
Naunga mkono hoja.

Ingependeza endapo mwanachuo hataruhusiwa kuendelea mwaka wa pili mpaka akimudu vizuri English.
 
kwanini kisitumike kiswahili kwenye interview na iko kingereza kitume kwnye organization za kimataifa huko..
mtu anaenda kuajiliwa almashauri ambapo asilimia 90 atatumia kiswahili kwenye utendaji kazi wake ila interview inalazimishwa kufanywa kwa kiingereza tena kwnye nchi ambayo kiingereza sio mother tongue kama tumerogwa yaani.!
Ni sahihi kisailiwa kwa Kiingereza kwa sababu hiyo ndiyo ilikuwa lugha yake ya mawasiliano kuanzia Sekondari.

Halafu mkuu unajua umekosea msamiati 1 wa Kiswahili?

Kuajiliwa ❎

Kaujiriwa ✅

Akifanyiwa usaili kwa Kiswahili, wakaamu kuzingatia ufasaha wa Kiswahili, bado anaweza akafeli.

Kiswahili fasaha si kirahisi kivile!
 
Back
Top Bottom