matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #81
Kiingereza sio kigezo, ila ni njia tutakayopimia hayo maudhui kichwani mwa mtahiniwa. Kama hakijui au hawezi kuyaelezea anatia shaka.Utakutana na litoto very stupid ( Engineer; Md) halina hata content wala Moral.. unalipa kazi za juu kwa kigezo cha Kiingereza kwani Italy, Spain, china, Jzpan, Russia, German, France wanaongea kimombo???
Kwa mazingira ya umasikini wa amAfrika, lazima tujue kiingereza kwa kiwangi cha kusikilizwa. Hao wenzetu wameshafanikiwa sio tegemezi. Japo na wao wanakijua kisirisisiri.