Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

Aiseeh! Kwahiyo nikifahamu kingereza tu nami najitapa nina degree.

Anayefahamu anifundishe please,Nitamlipa.l..ani PM .

"Godu morningi sa"
Mbwembwe zangu huwa zinaishia hapa,nataka nielewe zaidi ya hapa.
Unatia mihuri elimu yako kwa kuwa na uwezo wa kuileza kwa maneno na kwa maandishi kwa lugha uliyotumia kujifunza.

Hii ndio hoja. Kujua kiingereza sio degree
 
Wasomi wengi hawawezi kuongea kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.

Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.

Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kule unachokielewa basi wewe hukielewi. Na kama ulijifunza kwa Kiingereza tunataka ukieleze kwa uzuri kwa lugha hiyo.

Moja ya majuto yangu katika elimu ya juu, nikutojipa muda wa kutosha kujiendeleza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha. Niliashumu najua.

Nini maoni yako.
Kabla ya Uhuru kiingereza kilianza kufundishwa kwenye shule za msingi zote nchini, yaani mtoto anafika darasa la nne anajua kiingereza ukizingatia mtoto ni rahisi kujifunza lugha kuliko mkubwa. Baada ya Uhuru ilipoletwa siasa ya ujamaa ambayo ilikuwa na lengo la kuleta matabaka, elimu ikavurugwa kukawa na eti hakuna kupasi mtihani kukiwa na lengo la kuwawezesha watoto wa viongozi waingie sekondari na vyuo! Hapo ndipo baadhi ya shule zikawa zinafundisha lugha ya kiingereza na nyingine mradi shule! Hizi hata walimu shida. Wenye uwezo wakajianzishia shule zao ili wauze kiingereza kilichokuwa si bidhaa bali lugha kama kilivyo kiswahili, biashara ikapata mwitikio wa kifahari eti za Kimataifa kwa kuuza lugha moja!
 
Kiswahili ni kigumu kuliko kingereza 😂😂😂 ..Ngoja aanze kuandaa madokezi sabili hapo ndip utajua kiswahili ni nn.

Binafsi bora watumie kingereza ila kiswahili jau sana kina maneno magumu na ndio yanatumika ofisini.

English kina njiw nyingi rahsi kama ulikuwa hujui watu wanaweza kuandika kwa ms word then ikamsahihisha spelling mpaka grammar ,kuna tools kibao za AI .
Kiingereza hakina kona nyingi. Kiko moja kwa moja kwenye point. Kiswahili kinatoa nafasi nyingi za ujanjaujanja na kukwepa maswali.
 
Kama mambo umefundishwa kwa kiingereza, unataka tukupimeje uelwa wako kwa Kiswahili😁😁😁
Kwani hayo unayoyaelewa kuhusu taaluma yako, huwezi kuyaelezea kwa lugha ya kwenu? AU unataka kuniambia, ukifundishwa kitu kwa kiswahili, basi ikifika kukielezea kwa kiingereza hutaweza?
 
Kiswahili ni kigumu kuliko kingereza 😂😂😂 ..Ngoja aanze kuandaa madokezi sabili hapo ndip utajua kiswahili ni nn.

Binafsi bora watumie kingereza ila kiswahili jau sana kina maneno magumu na ndio yanatumika ofisini.

English kina njiw nyingi rahsi kama ulikuwa hujui watu wanaweza kuandika kwa ms word then ikamsahihisha spelling mpaka grammar ,kuna tools kibao za AI .
Wakati wa kufundishwa gari, akiambiwa akanyake mfulumbato asilalamike..!!
 
Kwani hayo unayoyaelewa kuhusu taaluma yako, huwezi kuyaelezea kwa lugha ya kwenu? AU unataka kuniambia, ukifundishwa kitu kwa kiswahili, basi ikifika kukielezea kwa kiingereza hutaweza?
Jamii inayokuzunguka, na jamii ya kimataifa inajua umejifunza hayo kwa Lugha ya kiingereza, hivyo wanategemea ujue kuieleza kwa Kiingereza.

Pia tunaposema msomi. Ni kufahamu uliyojifunza kwa lugha uliyojifunzia huku tukiwa hatuna wasiwasi na uwezo wako wa kukieleza kwa lugha yako ya nyumbani.
 
kwanini kisitumike kiswahili kwenye interview na iko kingereza kitume kwnye organization za kimataifa huko..
mtu anaenda kuajiliwa almashauri ambapo asilimia 90 atatumia kiswahili kwenye utendaji kazi wake ila interview inalazimishwa kufanywa kwa kiingereza tena kwnye nchi ambayo kiingereza sio mother tongue kama tumerogwa yaani.!
Lazima apimwe kwa Lugha aliyojifunzia, maana hata hivyo docs nyingi zitakuja kwa kiingereza.

Kwanza Kiingereza ni lugha ya taifa. Sasa ofisi za taifa ziwe na watu ambao hawakijui ni tatizo.
 
Sawa sawa, njia zipi nitumie kufahamu kingereza ?hata salaam tu rafiki.
Hata mimi sijui. Wataalam watasaidia.
Kiingereza changu ni cha kuungaunga na mimi nimekipa deadline kinyooke. Maana ninajambo langu flani na wazungu, kwa kiingereza hiki watanipuuza.
 
Back
Top Bottom