Nashauri kwenye majanga viongozi wa serikali wafike mwisho; wataalam wapewe vipaumbele kwanza

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji!

Hii haina afya kabisa!

Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa!

Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao!

Viongozi kuanzia DC, RC, Mawaziri na waziri mkuu wangekuwa wanakaa nyuma kusubiri wataalam wafanye kazi yao!

Nguvu ya kuwalinda viongozi, na misafara ya viongozi wakati wa majanga, tungeipeleka kwenye kuongeza vikosi kazi kutoka mikoa mbali mbali ili kuja kuongeza nguvu!

Natamani kuona punde baada ya majanga elikopita na ndege zisafirishe nguvu kazi inayookoa kuliko kupeleka viongozi ambao huongeza mzigo wa kuwapokea na kuwalinda wakati zoezi likiendelea!

Haiwezekana nchi inawataalam ambao ndiyo haswa wanatakiwa kuongea/kuelekeza lakini kwenye ajabu wanaozungumza ni viongozi!

Wanasiasa msiwe vimbelembele acheni wataalam watuambie kitaalam!
Baada ya reportv ya wataalam ndipo mje mseme nyie mwishoni!

Tuheshimu taaluma kwa vitendo! Vinginevyo mtachangia sana kuuwa professionalism katika taifa hili!.

Kuwa mwanasiasa haina maana mnajua kila kitu!
 
Hizo blaah za wanasiasa hazina msaada
 
Huu ushauri ulisikika?
 
Ai kwneye majanga, nyanja zote. Nchi hii ilipofika politician anajua kila kitu kuliko wataalam
Matokeo yake mambo ya ajabu yanaibuka, na wakishavurunda wanakaa kimya
 
Viongozi majanga ni vigumu sana kuwatenganisha na majanga...:KKomrade:
 
Ndicho walichofanya US,china, europe wataalam wamepewa kiupaumbele le wana lead kwenye mambo mbali mbali
Huku kwetu watu waongo waongo nfo wanatufeed taarifa na waandishi hawana muda kusaka taarifa sahihi wataturisha matango pori
 
Ai kwneye majanga, nyanja zote. Nchi hii ilipofika politician anajua kila kitu kuliko wataalam
Matokeo yake mambo ya ajabu yanaibuka, na wakishavurunda wanakaa kimya
Sasa ndo tatizo lao wanaongeza msongamano site usiokuwa na maana yoyote
 
Back
Top Bottom