Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushahidi wanabet au unahisi wanabet?Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.
Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.
Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa mpaka beki. Pacome alikuwa offside wakati anataka kufunga goli kabla ya yule beki kujifunga kimasihara.
Mechi ya juzi ya Simba, refa aliwanyima Singida waziwazi kona.
Mechi ya Simba na JKT yule beki kama hakuwa amebet basi tuseme ni nini? Kwanini amdake Kapombe dakika za lala salama vile?
Suluhu pekee ni kuiondoa ligi ya bongo kwenye kampuni zote za betting.