Nashauri Mawaziri, RC DC na DED wapelekwe Semina Elekezi kama enzi za JK. Fikiria wakati tunazungumzia Utekaji DC anadai Kuna Kitu alifanya Maporini!

Kwanini hamsemi tuikatae CCM KWA kuitoa MADARAKANI?
 

Attachments

  • 1000006239.jpg
    39.1 KB · Views: 2
Nasikia jamaa ni kipenyo,kama ni hivyo ni kasema kwa bahati mbaya au majukumu yalipaswa kuwa hivyo?
 

Luka 12:2-4

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Hakuna jambo lililofunikwa ambalo halitafunuliwa au siri iliyofichwa ambayo haitajulikana. 3 Kwa hiyo, yote mliyosema gizani yatasikiwa mchana: na yote mliyonong’onezana mkiwa mmeji fungia chumbani, yatatangazwa hadharani.
4 “Nawambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, na halafu basi
 
Nilishasema hapo awali kuwa MUNGU AMEONDOA KAULI KWENYE NDIMI ZA VIONGOZI

Uzi huo upo na haya yanayoendelea hakuna wa kuzuia zaidi ya Mungu mwenyewe
 
Unaendelea kuwatafutia sababu za kutafuna Kodi zetu ?
 
Ameendelea kukivua chama cha Mapinduzi nguo.

Hakika mtadharirika sanaa
 
Unaendelea kuwatafutia sababu za kutafuna Kodi zetu ?
 
Wewe naye badala useme awe chini ya ulinzi ahojiwe vizuri, eti waende semina. Hivi kwanini hamuwahurumii watanzania na kodi zao.
Angekuwa upinzani, katoa hiyo kauli, muda huu anakula virungu na kuvutwa korodani. Ila ni fisiem atatenguliwa imeisha.
 
Serikali ndio inayoteka na kutupa watu maporini huko
 
Wewe naye badala useme awe chini ya ulinzi ahojiwe vizuri, eti waende semina. Hivi kwanini hamuwahurumii watanzania na kodi zao.
Angekuwa upinzani, katoa hiyo kauli, muda huu anakula virungu na kuvutwa korodani. Ila ni fisiem atatenguliwa imeisha.
Wananchi Vichomi hawa aiseee,Aende semina ya kutuficha vizuri maporini😂😂
 
Tatizo ni kuokoteza watu, watumishi wa umma wanakula kiapo cha kutotoa siri za nchi.

Hii ndio sababu unakuta mtu kama Jenista Mhagama pamoja na uwezo wake mdogo. Kwa nafasi zake anajua mengi ya nchi ila ni trusted kwenye inner circle kutunza siri za nchi.

Mropokaji kama huyo angeachwa ndio ingekuwa tatizo, ni sawa alivyotumbuliwa hana tofauti na Napę katika uropokaji.
 
Unataka wafundwe Siri za kijinga unataka ukazipatie wapi?
Acha waendelee kufichua maovu Yao.
MTU akiwa na damu mikononi hawezi kufa na hiyo Siri.
 
Ngozi iliyokauka ukiimwagia maji ukiipiga inatoboka, vile vile kadhri binadamu umri unavyoongezeka Kuna vitu huwa havisahau ikiwa ametenda ubaya ama Jambo baya kumbukumbu huwa zinamsumbua hususani anapoelekea uzeeni huwa Hali hii yakuzungumza inajitokezaa Ili kupata Amani ama hauweni akizeeka akiwa anatolewa njee kuota juwa utasikia anasema hao wanakuja, huyo anakujaaa Hali hii ya hofu hutokana na matukio ya nyuma kumbukumbu mbaya.
 
Luka raraa reree ame-like comment yako, wala hakuchelewa maskini... Ukiteuliwa usimsahah Cyborg wetu 😁
 
Ni kweli wewe ni msiri wa maovu! Unafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…