Nashauri mechi ya derby ichezeshwe na refa kutoka nje

Nashauri mechi ya derby ichezeshwe na refa kutoka nje

[emoji88][emoji88][emoji88]
Mechi ikichezeshwe bunju na referee awe 3 malogo
 
Nashauri wale marefa toka North Sudan wachezeshe hali itadendeka maana Uto ni Waswahili sana
TFF inaendeshwa kama familia mfano hai tuzo zimetolewa leo badala ya kumaliza mashindano ambapo wanaopewa tuzo wengine huenda wameendq nchi zingine, (timu zingine) kwenda kupata changoto mpya
 
Back
Top Bottom