kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Si umeona sasa tungekuwa tunasalimiana kulingana na muda husika za asubuhi za jioni, unaendeleaje/mnaendeleaje ingekuwa poa zaidiHi, Hello inauliza hali gani?
Good morning/eveningi kwa maana ya za asubuhi/jioni hata bongo zipo.
Makabila yenyewe yafe tu, achana na salamu tu.Mkisha iua hiyo Salaam ya Shikamoo, kifuatacho ni kuua Salaam za makabila yenu.
Si umeona sasa tungekuwa tunasalimiana kulingana na muda husika za asubuhi za jioni, unaendeleaje/mnaendeleaje ingekuwa poa zaidi
😁😁😁atasema sina adabu maana wameshazoea kusalimiwa shikamooTayari zipo au kuna mtu kakakataza kusema za asubuhi/jioni? Hata kwa makabila salamu za hivyo zipo. Mwambie mzee wako za asubuhi bila shikamoo afu leta mrejesho.
Umebadili simu?Napenda kuamkiwa mie, yaan kuna ka hali fulani naka feel.
Shikamoo na iendelee. Tchaos!
😁😁😁atasema sina adabu maana wameshazoea kusalimiwa shikamoo
Aaaah wapiii. Niko na Tofali langu hili hili.Umebadili simu?
Kwahiyo tuachane nayo tubaki kusalimiana shikamoo?Hapo ndo changamoto inaanza. Salamu mbadala na zenye mantiki zipo tatizo mazoea. Kuna mambo bora kuachana nayo kuliko kutumia nguvu kubwa kupambana nayo.
Leo haitaki kutujulisha😁😁😁🙌Aaaah wapiii. Niko na Tofali langu hili hili.
😂😂😂😂😂
Modes sijui hata wamefanyaje, wameamua waifinye.Leo haitaki kutujulisha😁😁😁🙌
😁😁😁poleModes sijui hata wamefanyaje, wameamua waifinye.
😂😂😂😂😂
Ahsante, 😂😂😂😂😂😁😁😁pole
😂😂😂😂 Chanika moja hiyo..Kuna jamaa mmoja kitaani kwetu kila akikukuta upo na mwanamke lazima amuamkie huyo mwanamke.
😂😂😂😂😂😂 Mi najua story yako mwanzo mwisho ya weww kukataa salamu 😂😂😂🙌🙌🙌🙌Kuna mwanangu hua hapokei hiyo salamu hata asalimiwe na dogo wa miaka mitatu.
Hata mimi sio mpenzi wa shikamoo naona ni salamu isiyo na maana yoyote zaidi ya heshima ya kinafki.
Sio chanika😂😂😂😂 Chanika moja hiyo..
Huyo jamaa anaitwa hassani kwa sasa yupo hapa kwa.MBIKI
Nakusalimu kwa jina la............iendelee?Tuwe na salamu ya kitaifa haya mambo ya shikamoo yanaleta ukakasi sana...
Tukae humu ..assalam alaikum kama wenzetu waliostaarabika nchi jiran Chake chake.Tuwe na salamu ya kitaifa haya mambo ya shikamoo yanaleta ukakasi sana...
Sawa sawaSio chanika