alibaaliyo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 623
- 576
FRANCIS DA DON HONGERA SANA KWA KUISIMAMIA SCIENCE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
6. Bado tuna amini kila kitu kutoka nje kina faa,je wanasayansi wa hapa ndani waliothibitisha chanjo hii wanaweza kuja na chanjo mbadala ya hizi?Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya kitaifa juu ya usalama wa chanjo ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa letu.
Hoja ambazo wengi tuna shauku ya kuona zikijadiliwa , baadhi ni hizi:-
1.) Je, madhara (side effects) ya muda mfupi, muda wa kati (miaka mi5) na ya muda mrefu (miaka 10) ya hizo chanjo, kwa atakaechoma na kwa watoto atakaowazaa ni yapi?
2.) Je, chanjo ni nini? , yaani ili kitu kiitwe ‘chanjo’ kinatakiwa kiweze kufanya nini na nini? , na kwamba je, hicho kinachoitwa chanjo, kinaweza kufanya hayo?
3.) Kwa kuwa kirusi hiki huwa kinabadilika badilika kila baada ya muda fulani (fact), je, hii chanjo ya Johnson & Johnson iliyoletwa ni kwa ajili ya aina gani ya kirusi cha Corona, au ni kwa ajili ya aina zote za virusi vya Corona? Na kama kikija aina mpya ya kirusi, mfano ‘delta variant’ itabidi watu wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Hadi lini? Mwisho wake ni lini?
4.) Je, tukishachomwa hiyo chanjo ya Corona, tunaacha kuvaa barakoa?, tunaweza kujichanganya kwenye mikusanyiko? , tunaweza kushikana mikono na kukumbatiana? , tunakuwa hatuwezi kupata maambukizi ya Corona? Tunakuwa hatuwezi kuambukiza wengine? Na je, ni kwanini wanaochoma chanjo wanaogopa zaidi Corona kuliko wasiochoma?
5.) Nk, Nk, Nk, Nk.
Sasa bila kujibu hizi hoja, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaelewa, nasikitika hadi kiongozi mkuu wa nchi anaanguka kwenye mtego wa kujibu hoja kwa vijembe kama anavyofanya waziri wake, mnatufanya tujute kutoa nafasi za uongozi kwa usawa baina ya jinsia zote, mnawaangusha wanawake. Hivi kweli mtu anasema bila wasiwasi kwamba ametestiwa mitambo na mumewe na kwamba yupo fiti, are we serious, hoja ndio hujibiwa hivyo? Hoja hujibiwa kwa hoja.
Wachenu ujinga munapenda kumpa Kiki Gwajima aakewe mdahalo kama yy nani? Usicheze na Serikali, chanjo ni ya HIYARIIII anaetaka atachanja na asietaka asichanje Gwajima usifanye kampeni ya kuwazui watu wanaotaka kuchanja wasichanje hilo ndio kosa lako wewe sio Bwana Afya masuala ya kijinga mbele kizaa
Kiukweli hata mimi nimeshangaa sana. Yani serikali ituandalie mdahalo wa vichaa?
Hapana mkuu mdahalo uwe kati ya gwajima na Profesa Janabi wa JKI pale muhimbili!!!! Atamtoa hofu yote na data kamili.Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya kitaifa juu ya usalama wa chanjo ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa letu.
Hoja ambazo wengi tuna shauku ya kuona zikijadiliwa , baadhi ni hizi:-
1.) Je, madhara (side effects) ya muda mfupi, muda wa kati (miaka mi5) na ya muda mrefu (miaka 10) ya hizo chanjo, kwa atakaechoma na kwa watoto atakaowazaa ni yapi?
2.) Je, chanjo ni nini? , yaani ili kitu kiitwe ‘chanjo’ kinatakiwa kiweze kufanya nini na nini? , na kwamba je, hicho kinachoitwa chanjo, kinaweza kufanya hayo?
3.) Kwa kuwa kirusi hiki huwa kinabadilika badilika kila baada ya muda fulani (fact), je, hii chanjo ya Johnson & Johnson iliyoletwa ni kwa ajili ya aina gani ya kirusi cha Corona, au ni kwa ajili ya aina zote za virusi vya Corona? Na kama kikija aina mpya ya kirusi, mfano ‘delta variant’ itabidi watu wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Hadi lini? Mwisho wake ni lini?
4.) Je, tukishachomwa hiyo chanjo ya Corona, tunaacha kuvaa barakoa?, tunaweza kujichanganya kwenye mikusanyiko? , tunaweza kushikana mikono na kukumbatiana? , tunakuwa hatuwezi kupata maambukizi ya Corona? Tunakuwa hatuwezi kuambukiza wengine? Na je, ni kwanini wanaochoma chanjo wanaogopa zaidi Corona kuliko wasiochoma?
5.) Nk, Nk, Nk, Nk.
Sasa bila kujibu hizi hoja, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaelewa, nasikitika hadi kiongozi mkuu wa nchi anaanguka kwenye mtego wa kujibu hoja kwa vijembe kama anavyofanya waziri wake, mnatufanya tujute kutoa nafasi za uongozi kwa usawa baina ya jinsia zote, mnawaangusha wanawake. Hivi kweli mtu anasema bila wasiwasi kwamba ametestiwa mitambo na mumewe na kwamba yupo fiti, are we serious, hoja ndio hujibiwa hivyo? Hoja hujibiwa kwa hoja.
Sasa kwanini hoja zake zisijobiwe ili kudhihirisha umwehu wake?Mdaharo na mwehu? Nani yuko tayari kupromoti ujinga na upumbavu na pumba hizi ajidhalilishe?
Sawa, tunaomba taaluma itumike kujibu hizo hoja, sio kejeliAcha kuchanganya mambo ya kiimani kwa imani ya mtu mmoja na serikali pili ugomvi wa ndugu usiugeuze mjadala wa kitaifa tuko busy kufanya mambo mengine pia suala la afya sio la kupigia debate hii ni issue ya kitaaluma
Waziri anawakilisha mawazo ya wataalamu wote wanaomshauri, akiwemo JanabiHapana mkuu mdahalo uwe kati ya gwajima na Profesa Janabi wa JKI pale muhimbili!!!! Atamtoa hofu yote na data kamili.
Mkuu majibu ya maswali yote haya yameshajibiwa na wataalam wetu mbali mbali na hivi karibuni kwenye mahojiano ya Prof. Janabi TBC. Na majibu yote yapo kwenye maelezo ya WHO mitandaoni.Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya kitaifa juu ya usalama wa chanjo ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa letu.
Hoja ambazo wengi tuna shauku ya kuona zikijadiliwa , baadhi ni hizi:-
1.) Je, madhara (side effects) ya muda mfupi, muda wa kati (miaka mi5) na ya muda mrefu (miaka 10) ya hizo chanjo, kwa atakaechoma na kwa watoto atakaowazaa ni yapi?
2.) Je, chanjo ni nini? , yaani ili kitu kiitwe ‘chanjo’ kinatakiwa kiweze kufanya nini na nini? , na kwamba je, hicho kinachoitwa chanjo, kinaweza kufanya hayo?
3.) Kwa kuwa kirusi hiki huwa kinabadilika badilika kila baada ya muda fulani (fact), je, hii chanjo ya Johnson & Johnson iliyoletwa ni kwa ajili ya aina gani ya kirusi cha Corona, au ni kwa ajili ya aina zote za virusi vya Corona? Na kama kikija aina mpya ya kirusi, mfano ‘delta variant’ itabidi watu wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Hadi lini? Mwisho wake ni lini?
4.) Je, tukishachomwa hiyo chanjo ya Corona, tunaacha kuvaa barakoa?, tunaweza kujichanganya kwenye mikusanyiko? , tunaweza kushikana mikono na kukumbatiana? , tunakuwa hatuwezi kupata maambukizi ya Corona? Tunakuwa hatuwezi kuambukiza wengine? Na je, ni kwanini wanaochoma chanjo wanaogopa zaidi Corona kuliko wasiochoma?
5.) Nk, Nk, Nk, Nk.
Sasa bila kujibu hizi hoja, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaelewa, nasikitika hadi kiongozi mkuu wa nchi anaanguka kwenye mtego wa kujibu hoja kwa vijembe kama anavyofanya waziri wake, mnatufanya tujute kutoa nafasi za uongozi kwa usawa baina ya jinsia zote, mnawaangusha wanawake. Hivi kweli mtu anasema bila wasiwasi kwamba ametestiwa mitambo na mumewe na kwamba yupo fiti, are we serious, hoja ndio hujibiwa hivyo? Hoja hujibiwa kwa hoja.
Hoja yako itaishia humu humu hakuna change itakayofanyika.Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya kitaifa juu ya usalama wa chanjo ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa letu.
Hoja ambazo wengi tuna shauku ya kuona zikijadiliwa , baadhi ni hizi:-
1.) Je, madhara (side effects) ya muda mfupi, muda wa kati (miaka mi5) na ya muda mrefu (miaka 10) ya hizo chanjo, kwa atakaechoma na kwa watoto atakaowazaa ni yapi?
2.) Je, chanjo ni nini? , yaani ili kitu kiitwe ‘chanjo’ kinatakiwa kiweze kufanya nini na nini? , na kwamba je, hicho kinachoitwa chanjo, kinaweza kufanya hayo?
3.) Kwa kuwa kirusi hiki huwa kinabadilika badilika kila baada ya muda fulani (fact), je, hii chanjo ya Johnson & Johnson iliyoletwa ni kwa ajili ya aina gani ya kirusi cha Corona, au ni kwa ajili ya aina zote za virusi vya Corona? Na kama kikija aina mpya ya kirusi, mfano ‘delta variant’ itabidi watu wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Na kikija kingine wakachomwe tena? Hadi lini? Mwisho wake ni lini?
4.) Je, tukishachomwa hiyo chanjo ya Corona, tunaacha kuvaa barakoa?, tunaweza kujichanganya kwenye mikusanyiko? , tunaweza kushikana mikono na kukumbatiana? , tunakuwa hatuwezi kupata maambukizi ya Corona? Tunakuwa hatuwezi kuambukiza wengine? Na je, ni kwanini wanaochoma chanjo wanaogopa zaidi Corona kuliko wasiochoma?
5.) Nk, Nk, Nk, Nk.
Sasa bila kujibu hizi hoja, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaelewa, nasikitika hadi kiongozi mkuu wa nchi anaanguka kwenye mtego wa kujibu hoja kwa vijembe kama anavyofanya waziri wake, mnatufanya tujute kutoa nafasi za uongozi kwa usawa baina ya jinsia zote, mnawaangusha wanawake. Hivi kweli mtu anasema bila wasiwasi kwamba ametestiwa mitambo na mumewe na kwamba yupo fiti, are we serious, hoja ndio hujibiwa hivyo? Hoja hujibiwa kwa hoja.
Acha kuchanganya mafaili prof Janabi ni proffesor wa magonjwa ya moyo sio immulogy.Kuwa proffesor wa medical sio kujua kila kitu.labda kama una maana ingineWaziri anawakilisha mawazo ya wataalamu wote wanaomshauri, akiwemo Janabi
Hivi mnajua kuna mtu anaweza kuwa kichaa shauri ya kuwa na akili nyingi sana hadi zinamwagika.Hivi unafikiri zile namba mbili mtu na shemeji yake wana akili za kispot spot wana akili mno hizi zinazomwagika sasa ndio tunavyoona sisi yanayotokea sasa hiviSASA KAMA WAZIRI WA AFYA KICHAA, WEWE UNAYESIKILIZA MAAGIZO YAKE UKO SAWA?
Na wewe unayeniuliza kama niko sawa kwakuwa nasikiliza maagizo ya waziri, una akili timamu?SASA KAMA WAZIRI WA AFYA KICHAA, WEWE UNAYESIKILIZA MAAGIZO YAKE UKO SAWA?
Yaweke hapa, mi sijabahatika kuyasikiaMkuu majibu ya maswali yote haya yameshajibiwa na wataalam wetu mbali mbali na hivi karibuni kwenye mahojiano ya Prof. Janabi TBC. Na majibu yote yapo kwenye maelezo ya WHO mitandaoni.
Hata huu mdahalo ukifanyika bado watu watasema majibu yaliyotolewa na serikali ni ya uongo na wamenunuliwa/wana agenda ya siri!!!
Mimi hata huyo Janabi simjui, zaidi ya kuambiwa kwamba ana majibu ya hoja, so, waziri atafute majibu toka kwa vyanzo vyote atakavyo, ili aje kwenye mdahalo ajibu hoja.Acha kuchanganya mafaili prof Janabi ni proffesor wa magonjwa ya moyo sio immulogy.Kuwa proffesor wa medical sio kujua kila kitu.labda kama una maana ingine
Itabidi kuandika gazeti ila kwa kuanzia angalia interview ya Janabi TBCYaweke hapa, mi sijabahatika kuyasikia
Hoja ziko hapo juu, zijibu kama unavyodai zilijibiwaItabidi kuandika gazeti ila kwa kuanzia angalia interview ya Janabi TBC
kwa kuwa nimepigwa chanjo, siko sawaNa wewe unayeniuliza kama niko sawa kwakuwa nasikiliza maagizo ya waziri, una akili timamu?