#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

Acha kuchanganya mambo ya kiimani kwa imani ya mtu mmoja na serikali pili ugomvi wa ndugu usiugeuze mjadala wa kitaifa tuko busy kufanya mambo mengine pia suala la afya sio la kupigia debate hii ni issue ya kitaaluma
 
6. Bado tuna amini kila kitu kutoka nje kina faa,je wanasayansi wa hapa ndani waliothibitisha chanjo hii wanaweza kuja na chanjo mbadala ya hizi?

7.Je hamjaona kama inafaa watu wachache wachanjwe kuliko kuchanja taifa zima wakati madhara ya chanjo hayajulikani?

8. Chanjo ni hiari lakini kwa nini nguvu kubwa inatumika kushawishi na kulazimisha watu kuchanjwa? Mbona kuna magonjwa mengine tena yanaua watu wengi kuliko corona lakini hakuna nguvu kwenye kutafuta chanjo?

9. Chanjo wanayo chanja Marekani na Uingereza ndo hii hii tunayochanja sisi?

10.Chanjo inahusishwa na chapa 666, hakuna mtu wala mamalaka iliyotoa ufafanuzi juu ya ukweli huu au uongo huu.Kwa nini?
11........
12.........


Ni muda sasa wa majibu kutolewa kuliko kutoa matamko, vitisho,matusi,
 


swali lako:1.Gwajima awekewe mdahalo kama nani?

jibu: MCH.GWAJIMA NDIYE MCHUNGAJI PEKEE ALIYESIMAMA KUOMBA UFAFANUZI WA CHANJO KUANZIA AKIWA BUNGENI , TAREHE 11 MAY 2021

Swali lako 2.Gwajima usifanye kampeni ya kuwazui watu wanaotaka kuchanja wasichanje hilo ndio kosa lako wewe sio Bwana Afya.

jibu: KAMA KUNA KAMPENI JUU YA WATU KUCHANJWA, KWA NINI ISIWEPO KAMPENI WATU WASICHANJWE?.
 
Hapana mkuu mdahalo uwe kati ya gwajima na Profesa Janabi wa JKI pale muhimbili!!!! Atamtoa hofu yote na data kamili.
 
Acha kuchanganya mambo ya kiimani kwa imani ya mtu mmoja na serikali pili ugomvi wa ndugu usiugeuze mjadala wa kitaifa tuko busy kufanya mambo mengine pia suala la afya sio la kupigia debate hii ni issue ya kitaaluma
Sawa, tunaomba taaluma itumike kujibu hizo hoja, sio kejeli
 
Hapana mkuu mdahalo uwe kati ya gwajima na Profesa Janabi wa JKI pale muhimbili!!!! Atamtoa hofu yote na data kamili.
Waziri anawakilisha mawazo ya wataalamu wote wanaomshauri, akiwemo Janabi
 
Mkuu majibu ya maswali yote haya yameshajibiwa na wataalam wetu mbali mbali na hivi karibuni kwenye mahojiano ya Prof. Janabi TBC. Na majibu yote yapo kwenye maelezo ya WHO mitandaoni.
Hata huu mdahalo ukifanyika bado watu watasema majibu yaliyotolewa na serikali ni ya uongo na wamenunuliwa/wana agenda ya siri!!!
 
Hoja yako itaishia humu humu hakuna change itakayofanyika.
Vyombo vya habari vyote vinamilikiwa na members wa secret society, the Rothchild puppets and goffers, hakuna atakayeruhusu hili wazo lako.
Sio rahisi kuruhusu kweli isambae kwa public...just manipulate them
 
SASA KAMA WAZIRI WA AFYA KICHAA, WEWE UNAYESIKILIZA MAAGIZO YAKE UKO SAWA?
Hivi mnajua kuna mtu anaweza kuwa kichaa shauri ya kuwa na akili nyingi sana hadi zinamwagika.Hivi unafikiri zile namba mbili mtu na shemeji yake wana akili za kispot spot wana akili mno hizi zinazomwagika sasa ndio tunavyoona sisi yanayotokea sasa hivi
 
Yaweke hapa, mi sijabahatika kuyasikia
 
Acha kuchanganya mafaili prof Janabi ni proffesor wa magonjwa ya moyo sio immulogy.Kuwa proffesor wa medical sio kujua kila kitu.labda kama una maana ingine
Mimi hata huyo Janabi simjui, zaidi ya kuambiwa kwamba ana majibu ya hoja, so, waziri atafute majibu toka kwa vyanzo vyote atakavyo, ili aje kwenye mdahalo ajibu hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…