#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

Your browser is not able to display this video.

Sikiliza maneno aliyoyasema mwishoni, kwamba wametumia watu wa Belgian Congo takriban milioni moja kuwafanyia majaribio ya chanjo enzi za ukoloni
 
Mjadala tunaohitaji ni wananchi na serikali yao kuhusu kuuza mazao yao yaliyokwama Maghalani Kwa Sasa . Mahindi, Mpunga, Mbahazi na Maharage
 
Mjadala tunaohitaji ni wananchi na serikali yao kuhusu kuuza mazao yao yaliyokwama Maghalani Kwa Sasa . Mahindi, Mpunga, Mbahazi na Maharage
WaTanzania tuko milioni 50+, hayawezi kukosa soko, tutakula tu
 
Na mimi nilishawahi kutoa hili wazo kwa Mh.Waziri Dorothy
 
Na mimi nilishawahi kutoa hili wazo kwa Mh.Waziri Dorothy
Wanakimbia hoja wanakazana kuhamasisha watu wachanje, sasa watu watachanja vipi wakati mmeshindwa kujibu hoja za msingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…