#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

Yaani unamaanisha Gwajima na Gwajima wapew airtime kwenye media? bangi mwachie bob marley tu
6B847C89-C9D5-435F-BD93-193BB2874361.jpeg
 
Badala ya kujibebisha kwa Gwajima, ni vyema tukajibu hoja zake kwanza
 
Hoja za kina Humphrey Polepole na Mchungaji Gwajima zijibiwe
 
Nadhani sasa tunaelewa ni kwanini madalali wa chanjo walikuwa wanatumia nguvu nyingi kushinikiza chanjo, ili mkopo ukija wamegewe fungu la kutosha, halafu baadae tuanze kukamuana tozo
 
Back
Top Bottom