Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

Kwanini hujawaombea magari unaogop ajali zitaongezeka au?
 
Inasikitisha sana Halafu utasikia kuna majambazi huko yamenunua maeneo kwa mabilioni ya fedha mwezi huu tu.
 
Yani unaacha kufatilia game kama hii ya Lazio na inter unawawaza walimu
 
Mnataka kuwaua na mikopo. Mimi nina ndugu na marafiki walimu sijawahi kuwasikia wakilalamika hizi shida mnazosema huku JF, Wanafamilia na maisha yako poa kabisa.
Tuwaheshimu walimu ni Moja ya watu muhimu sana katika jamii
 
Mjuba hivi bado kuna walimu wanatumia usafiri wa baiskeli miaka hii? Walimu wana magari na pikipiki walizokopa wenyewe. Huyo mwalimu anayetembea kwa miguu miaka hii labda anataka mwenyewe kutembea
 
Kwanini wasiboreshe maslahi Ya walimu hili waweze kumudu kujinunulia baiskeli??
 
Kama hawawezi kununua hata baiskeli kuna haja gani ya kuajiriwa
 
Mjuba hivi bado kuna walimu wanatumia usafiri wa baiskeli miaka hii? Walimu wana magari na pikipiki walizokopa wenyewe. Huyo mwalimu anayetembea kwa miguu miaka hii labda anataka mwenyewe kutembea
Kabisaa yaan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…