Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Hivi huonagi japo aibu kila mada unayoileta humu huwa unaishia kutukanwa tu?!
 
Umetoroka Mirembe!
 
Kabisa JPM alikuwa anakwenda kuua nchi hii kama angeendelea kuishi. Hivi kwamfano lile daraja la Tanzanite Dar lina maana gani kuwepo kwa gharama zile kubwa mno za kujenga baharini? Ni sawa na Busisi nk.
 
Acha ujinga busisi ni muhimu kuliko hata kigamboni endelea kutetea ujinga! Mikoa zaidi ya minne na nchi zaidi ya tatu zinategemea daraja hilo!
 
Hapa sijui kama umeelewa ulichoandika, unamlaumu Magufuli kusitisha ujenzi wa miradi ambayo ilikuwa bado haijaanza, ila nawe unataka hata hiyo iliyoanza nayo isitishwe!

Halafu tena bado unashangaa kwanini wanataka kuanzisha mipya wakati iliyoanzishwa na magufuli bado haijakamilika, sasa hapa uko kundi lipi?
 
Acha ujinga busisi ni muhimu kuliko hata kigamboni endelea kutetea ujinga! Mikoa zaidi ya minne na nchi zaidi ya tatu zinategemea daraja hilo!
Bilioni 700 zilizotupwa hapo ziwani zingeweza kujenga kilometer 700 za high quality road kwa gharama ya shilling billioni 1 kwa kilometer! Kwa urefu huu wa barabara mkoa wa Mwanza na jiji la Mwanza lingekuwa kama Ulaya. Ujinga ni gharama sana!
 
Endelea kuota
 
Miradi tuimalizie ila tusije kuwa na Rais wa ajabu mwingine kama hivi - hasa ki utawala bora na kuheshimu katiba na sheria za nchi ilikuwa mbaya saana.

Huo uwanja wa chatoh sijui utatumikaje...wapewe JWTZ. maana hauna tija.
 
Bilioni 700 zilizotupwa hapo ziwani zingeweza kujenga kilometer 700 za high quality road kwa gharama ya shilling billioni 1 kwa kilometer! Kwa urefu huu wa barabara mkoa wa Mwanza na jiji la Mwanza lingekuwa kama Ulaya. Ujinga ni gharama sana!
Hata wangejenga barabara za mkoa wa mwanza ungekuja hapa na maneno ya ukabila na upendeleo! Nyinyi watu ni wapumbavu na Mnafiki huwa hakosi neno! Ukumbuke ujenzi wa daraja la busisi unaenda sambamba na upanuzi njia sitta kutoka usagara hadi mjini mwanza!
 
😁😁

Sasa kama inakuwa ndiyo lijengwe daraja la mabilioni kwenda kijijini Bisisi? Acha kupumbazwa na ukabila
Daraja ls busisi ni icon ya uchumi kanda ya ziwa na nchi za maziwa makubwa. Busisi ni kituo tu cha kutokea kuelekea Geita na kagera hadi Rwanda etc
 
Hapana shaka JPM alikuwa mkabila kupindukia ila kibaya zaidi ni ujinga mkubwa aliokuwa nao. Nilimwogopa zaidi kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…