chotibalula
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 206
- 110
Hauna uelewa juu ya hili daraja: SIYO DARAJA LA KWENDA BUSISI,ni daraja la busisi....ilinaunganisha mikoa ya mwanza, Kagera pamoja na nchi jirani.....uwe unaelewa kwanza.Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Utakuwa unaishi Busisi wewe. Serikali ipo Dar.Mbona Serikali nzima ipo Dodoma
Kigoma kuna nini? Au mnataka kusafirisha mawese mbona mnawaza kwa kutumia miku#$%.Njoo na hoja Mkuu, hizo hasira hazisaidii,
Kama kweli tulikuwa hatuna ukabila je
SGR lot 5 ilitakiwa iende wapi kati ya Kigoma na Mwanza?
Reli kuja Mwanza kuna tija kiasi gani kulinganisha kama ingeelekea Kigoma?
Hasa kama ungetangulia Utaifa na si Ukanda?
Achana na huyo bwege ndo maana sijamjibu hujue kuna watu wanaleta uzi unaoweza kusababisha wenzao wapewe ban bila sababu, huyo jamaa huwa ana chuki sana na Mwanza, pili mtu kama huyo anazani ilo daraja la busisi litanufaisha wana kanda ya ziwa tu wakati hilo daraja litachochea uchumi wa taifa zima kwa ujumla na kurahisisha usafirishaji kati ya nchi za afrika mashariki.Hivi huonagi japo aibu kila mada unayoileta humu huwa unaishia kutukanwa tu?!
Hivi elimu zenu huwa zinawasaidia nini? Umuhimu wa hilo daraja unajua lkn? Watu wangapi wanakufa pale? Watu wangapi wanapoteza muda wakiwa wanasubiri ferry? Watu wangapi bidhaa zao zinazama majini? Malory mangapi yanachelewa pale?Mwanza bado wanafunzi wanakaa chini, maji ya kunywa shida kwanini JPM hakusambaza maji mwanza nzima kwa gharama isiyozidi billioni 300 kuliko kufuru aliyofanya Busisi?
Punguza chuki na wivu acha mihemko ya kishamba sisi sote ni watanzania.Jiwe alikuwa mwendawazimu. Kuamua kumwaga mabilioninya pesa Busisi.
Umetanguliza chuki badala ya uharisia.Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Watu wenyewe watu Sasa!?Watu wangapi wanakufa pale? Watu wangapi wanapoteza muda wakiwa wa
Wewe ni bonge la mpumbavu,farasi,kidudumtuBinafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Huyo mtoa mada amejaa chuki dhidi ya kanda ya ziwa, hivi hayo madaraja yaliyojengwa dar yanatija gani kitaifa?, madaraja ya kuunganisha mtaa na mtaa lkn daraja la busisi lenye tija kitaifa imekuwa nongwa.Unashangaa kivuko na daraja!! Unashindwa kujiongeza kwamba Daraja likikamilika litasimama badala ya kivuko! Mbona husemi kule masaki na Osterbay kuna barabara ya lami safi na bado limejengwa daraja! Wamejenga daraja la kwenda beach [emoji3][emoji3], vipi kigamboni hushangai kuna kivuko na daraja, tena daraja ambalo aliunganishi mkoa wowote.
Hizi nchi zinafikika kirahisi kupitia Kigoma. Daraja la Busisi ni matokeo ya ukabila wa JiweBusisi inaunganisha Sengerema,Geita,Bukoba,Kampala,Rwanda,Burundi mpaka Congo
Una akili za kitoto sana, kususa mambo yanapopitia changamoto ni utoto na dalili ya kutokupevuka,Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini.
Chama cha Mazezeta hawawezi kukuelewa.Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini.
Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote hiyo. Tunapaswa kama taifa kuachana na miradi mikubwa isiyo kuwa na tija.
Safi sana
Nasema hivi weww ni mpumbavuHizi nchi zinafikika kirahisi kupitia Kigoma. Daraja la Busisi ni matokeo ya ukabila wa Jiwe