Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Ni ukweli usiopingika kuwa, katika kila zama za uongozi kuna mabaya na mazuri yaliyofanywa na viongozi au watawala hao. Serikali ya awamu ya 5 inaweza kuwa ndoa awamu iliyokuja na stahili tofauti ya kiuongozi katika nchi na hivyo mapungufu na madhaifu yakaonekana bayana tena yanayogusa maisha ya watu na hivyo hata yale mazuri mengi ya kuijenga nchi yakafunikwa na madhaifu japo yanaonekana.
Ni wazi kuwa miradi iliyoanzishwa ilikuwa na iko kimkakati zaidi katika kujenga na kuimarisha uchumi wa nchi na watu wake, shida ni kuwa watendaji au viongozi wanatupeleka katika mwelekeo wa pamoja au Lah!
Uwajibishwaji wa viongozi wa umma mara nyingi unaweza kuchagizwa na viongozi au watawala waliopo madarakani lakini pia siasa kupewa kipaumbele sana hata kwenye mambo ya msingi.naunga mkono kuwajibishwa kwa waliokengeuka, lakini ni nani atamfunga paka kengele? Ahsante.
 
Naunga mkono hoja yako mkuu
 
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Apo ndio utajua ukichaa ulio nao ni walevel ya pekeyakooo....njia ya kukwepa majukum sio kukimbia nyumba , pambana uyashinde ...watu kama nyie ndii hufa masikini
 
Sema 40% ya mizigo inayopitia central corridor kwenda nchi jirani kutoka Dar port inapita Kigoma lakini 70% ya mizigo yote inayopokelewa Dar port kwenda nchi jirani inaelekea Sadc via Tazara na Tanzam.

Kwa hesabu hizi ni matumizi mabaya na WEhu kujenga reli ya sgr central corridor regardless inaenda Mwanza au Kigoma.

Hayo mamiradi makubwa uchwara yawe yanajengwa taratibu ili pesa ikafanye mambo mengine ya msingi.
 
Nyinyi na huyo bibi ako Samia mmeshafeli mnatapatapa daraja la Busisi linaenda kijijini akili yako imejaa kamasì! Si mlimuona Magufuli hafai amewaachia muendelee na Msoga wenu!
Mwendazake alikuwa mwehu na mkurupukaji,mamiradi yote ni useless na mhusika kaacha jumba bovu ,kwa nini hakukamilisha hata kimradi kimoja miaka yote 6?

Tunaenda na Samia 👇











 
Hayo mamiradi makubwa uchwara yawe yanajengwa taratibu ili pesa ikafanye mambo mengine ya msingi.
Naam! Hata mm napendekeza tusijenge kana kwamba taifa linaangamizwa kesho. Tumalize JNHPP halafu miradi mingine tuisukume taratibu. Lkn Busisi tuachane nalo kabisa
 
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Wewe kenge bora unyamaze maana hata hiyo Busisi yenyewe ni kweli kuwa huifahamu.
 
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Chuki dhidi ya magufuli imekupofusha huoni tija, mbinafsi mkubwa wewe,viongozi wanaopumzika wanaolipwa 80percent ya mishahara wa kiongozi anayetumika mbona huja pendekeza zipunguzwe kwani ni wazee wasiohitaji mambo mengi.
 
Watu wananunua ndege 5 za ziada wakati nchi ina shida ya maji na umeme sijui tumefeli wapi.

Kwa nini hizo hela zisingeenda kusaidia upatikanaji wa maji na umeme bila shida.
 
Nchi hii nilichojifunza wanaoishi kwa janjajanja ni wengi kuliko wenye maadili mema.

Pamoja na mambo mengine mwendazake alidhibiti janjajanja kwa asilimia 60 lakini sasa goli lipo wazi.

Sisi wazee tulioishi miaka Ile tulikuwa tunalalamika ubadhilifu uliokithiri,tukaomba atokee kiongozi mkali na katili ili kuondoa donda ndugu la janjajanja na upendeleo tukampata japo hakukidhi lakini angalau alinitahidi kukemea.

Kinachofuata ni kurudi kwa janjajanja ukiwakamata ukawapeleka Polisi janjajanja inatawala,ukipeleka mahakamani ni yaleyale technicalities za kisheria na lugha Yao ya kiratini inachukua nafasi.

Muafaka ni kama jipu tuliache liive litapasuka.Hatuwezi kumpata tena kama mwendazake watu wanapenda uhuru,haki bila wajibu.
 
😂 iyo point 3 sio kabisa kwamba SGR isubiri awamu ya 8 itaendeleza 😀
 
Ndio maana nasema kila siku tuwe na sheria inayomtaka Raisi aliyepo madarakani kulinda na kuendeleza miradi aliyoachwa na mtangulizi wake. Najua utakuwa kuna kitu unakitafuta na ukishajua watanzania tupo paamoja nawe ndio utekelezaji wa kuipa kisogo hiyo miradi itaanza.
 
Mimi nasema HAPANA, SIKUBALIANI NA WAZO LAKO HILI...!

Hata kama waliochukua maamuzi ya kuanzisha development projects walikosea, kuiacha na kuanzisha kitu kingine tena yatakuwa NI MAKOSA MAKUBWA NA YA KIJINGA KABISA....

Bila kujali kama Magufuli alikosea ama la, lakini mpaka kufikia hatua hii hakuna kurudi nyuma bali ni kusonga mbele hadi imalizike hata kama itachukua miaka 20...!
 
Hata kama waliochukua maamuzi ya kuanzisha development projects walikosea, kuiacha na kuanzisha kitu kingine tena yatakuwa NI MAKOSA MAKUBWA NA YA KIJINGA KABISA....
Nilichoshauri ni kuacha kuitekeleza yote kwa pamoja. Mradi ambao nataka serikali iachane naonkabisa ni huo wa daraja la Busisi
 
Kweni hata ukitumia tu akili yako unaona ni alikosea? Mtoa mada ni mpumbavu tu....lile eneo lina waTanzania waliohitaji huduma hiyo kwa miaka mingi tu maana huzama na mitumbwi wakipeleka samaki na mazao ya bustani hasa nyanya upande wa pili ili waelekee mjini kati

Mtu asiye pajua hapo ataongea anachojisikia kwa ujinga wake tu.
 
Busisi ni muhimu,makao makuu ni matumizi mabaya ya Kodi zetu,
 
Nilichoshauri ni kuacha kuitekeleza yote kwa pamoja. Mradi ambao nataka serikali iachane naonkabisa ni huo wa daraja la Busisi
Ungekuwa mfanyabiashara au mmiliki wa maroli ,mabus ungeona umuhimu wake.
 
Wewe utakuwa ni mkazi wa hicho kijiji cha Busisi ndiyo maana unatetea upuuzi wa jini jiwe.

Unapelekaje mabilioni ya shilingi kujenga daraja kuungqnisha vijiji vya ukweni kwake vyenye wakazi 300?? Jini jiwe mpuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…