Nashauri serikali itenge eneo hata la hekari 700 pajengwe ukuta ambapo raia hawataingia kizembe then kifanyike kilimo cha zao la Bangi kisasa.

Nashauri serikali itenge eneo hata la hekari 700 pajengwe ukuta ambapo raia hawataingia kizembe then kifanyike kilimo cha zao la Bangi kisasa.

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa,

Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu.

Tz mapori ni mengi sana
 
Na wakulima binafsi wapewe ruzuku kabisa kwanzia mbegu,mbolea..nk
 
Fukuza Nyumba kule pori la Ruaha panda bangi
Nani aje kutazama nyumbu Karne hii hayo mapori yalimwe bangi na wa export nje
Yaani wanaruhusu sigara na energy drinks halafu wanazuia bangi
 
Fukuza Nyumba kule pori la Ruaha panda bangi
Nani aje kutazama nyumbu Karne hii hayo mapori yalimwe bangi na wa export nje
Yaani wanaruhusu sigara na energy drinks halafu wanazuia bangi
Mambo ya ajabu kabisa
serikali ijitazame
 
Mambo ya ajabu kabisa
serikali ijitazame

Makadirio
wavutaji milioni moja wakilipa vibali kwa elf 50 kwa mwaka
serikali itapata bilioni 50 kwa wavutaji pekee

wauzaji elf 50 wakilipa laki moja kupata leseni, makusanyo ni bilioni 50

wakulima elfu moja wakilipa milioni moja

makusanyo yatakuwa bilioni moja

hayo ni mapato ya ndani tu bado kuuza nje ya nchi
 
Natafuta bangi kgs 2,mwenye nayo anichek pm,dau noo natangaza.
 
Fukuza Nyumba kule pori la Ruaha panda bangi
Nani aje kutazama nyumbu Karne hii hayo mapori yalimwe bangi na wa export nje
Yaani wanaruhusu sigara na energy drinks halafu wanazuia bangi
Kuna watu wanaishi maisha ya peponi sababu ya Nyumbu halafu we unasemaje?😀😀
 
Serekali yetu choyo sana,kilimo kikilimwa kwa uangalizi maalumu for export kuna ubaya gani?/
 
Back
Top Bottom